@nawadhtronics: Bado unahangaika na pini na viki-plastiki vidogo? 🤷♂️ eSIM ndio mpango mzima! Huongeza namba bila kuhitaji SIM card ya kawaida. Rahisi, salama, na ya kisasa. Unajua kama simu yako ina-support eSIM? Tunapatikana Dodoma 0715404906#creatorsearchinsights #creatorssightinsights
NawadhTronics✨️
Region: TZ
Friday 28 August 2026 11:01:10 GMT
Music
Download
Comments
Deccophixdesigner1904🎨 :
nafanyaj kupat esim kiongz cm yang lain 1
2026-08-28 22:17:29
1
Shabiru Mwarubain :
M nimeletew "IMEI" na kunanamba
2026-08-29 07:05:35
0
Jeshi La Mbu :
Nafanyaje kupata esim kaka mm natumia iphone 11 plain
2026-08-29 07:52:38
0
ZB🎸🎸🥁🎵🎶 :
kaka jinsi ya kuamisha esim kuja kwenye simu nyingine
2026-08-29 06:00:04
1
RICHARD :
Vivo 21 je unasapoti au
2026-08-28 23:30:46
0
duny boy :
naa nafanyaje ili kuunga
2026-08-29 09:58:03
0
the one :
ni vipi unaweza kuitumia esim kaka?
2026-08-29 07:18:16
0
binham :
km simu ya Aquos vp inayo esim
2026-08-29 09:25:23
0
deuss :
m nataka kuung unaenisaidiaj
2026-08-29 07:30:47
0
Jacksonmbigi :
sehemu ya lain waliongezea battery ausiyo mwanetu
2026-08-29 09:27:50
0
chikomo jr :
google pixel 6a unaweza kutumia line zaid ya moja
2026-08-29 07:23:20
0
GADDAFI 45 :
kaka nisaidie kuweka hyo esim kwenye pixsel 6a
2026-08-29 09:18:11
0
David Dominick :
je google pixel 7a inauwezo wa kusaport esim ngap
2026-08-29 08:31:49
0
fridäciavedastus :
simu ikiharibika nayo haifany kaz Tena??
2026-08-29 09:11:38
0
🪓kishoka🪓 :
mbona inaleta email
2026-08-29 06:45:45
0
P.Master🕷️ :
yangu imenletea IMEI Sony docomo
2026-08-29 08:11:38
0
Deccophixdesigner1904🎨 :
ok
2026-08-28 22:27:18
0
deuss :
m inasopot esim ko tunafanyaj ili kupt hudum
2026-08-29 07:35:02
0
MHENGA TZ :
me mbona sionii wamelet vingine
2026-08-29 05:15:12
0
legend 🚨🚨😎 :
iyo code ni ya email broo *#06#
2026-08-29 09:34:33
1
Saido :
Unasema sana hutuoneshi hata gisi tutafanya umenikera kabisaaaa😣
2026-08-29 10:07:40
0
Shafii Mawewe :
napataje sas sim yang inawezekan wa kutumia
2026-08-29 03:56:20
0
🔥〰️ 𝕸𝕴𝕯𝕰 𝕭𝕯 〰️🔥 :
sim Yang ni arrows nawezaje
2026-08-29 06:43:49
0
jimmy_village :
👊👊🫡
2026-08-28 16:39:09
2
azizially :
🥰🥰🥰
2026-08-29 06:59:44
0
To see more videos from user @nawadhtronics, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.