@uhondo.tv: Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma, amemuomba Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi kutumia nafasi hiyo kufanya kazi kwa bidii na kuwa mfano kwa Vijana, akisema Taifa linaelekea kwenye Uongozi wa kizazi kipya. #UhondoTVUPDATES
kwenye mapenzi hakuna ujanja, yeyote anaingia humo
2026-08-30 00:25:38
0
Dulla2410 :
Msukuma hajawahi kuongea pumba🔥
2026-08-28 20:55:48
2
Elia Gabriel :
Hii nchi hatujawahi kupumzika tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua,punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analeta vipimo kutoka Zanzibar mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangushabmchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo
Mara gezeti limefungiwa kwa taaarifa isyo lasmi kwamba Nchimbi ajihudhuru na baada ya mda ina kuwa kwel 🤣🤣🤣
Mara mwenekano mpya wa sele yanga mara nabii TITO 🐸🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 SINA WAKILI JAMAN🫣🤣🤣👍
FOLLOW ME 🙏🙏
2026-08-28 11:55:10
3
E E 16689 :
nawewe vijana wazalendo sio machawa
2026-08-28 11:21:48
0
nyamwezian maziku :
honger
2026-08-29 17:04:08
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.