@kinata_mc12: twende nalo #viral #kenyantiktok🇰🇪 #trending @mozeganglifestyle

Kinata MC
Kinata MC
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 11:09:07 GMT
192298
24428
681
351

Music

Download

Comments

mankinojr
man_kino :
Humu tuu
2026-08-28 20:38:42
60
nitha_cosmetics01
Nitha_cosmetics :
Msaniii wangu 🇹🇿
2026-08-28 14:23:58
84
njalamondi
NJALA MONDI (utaila) :
😁😁😁😁 Nimecheka sana bro mwishon umetukana
2026-08-28 12:16:22
32
riry.cute
Riry cute🌺 :
msanii mbaya wa singeli ni kinata ila anasauty mzury
2026-08-29 09:48:52
13
officialsingeli_yetu
SINGELI YETU 🎙️ :
nakubali kaka nakupaisha kesho mapemaa
2026-08-28 11:12:42
21
k.zungu15
K ZUNGU SLAVENCHA🦅 :
Hit song🙏🏻,
2026-08-29 08:35:33
10
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-28 18:12:35
5
eybrawhite.27
Eybrawhite 27 :
Nshaipata status ya kesho
2026-08-28 18:55:50
8
nestomlokaa
Nestomloka :
linaitwaje hili goma
2026-08-28 13:40:13
7
azkid_brown
Azkid Brown :
mara pap maisha ya duniani, hayana ata thamani, Quuubababake🔥🔥🕺🏽🕺🏽
2026-08-29 10:37:55
7
gomesijr
Gomesi Jr :
kwaheshimaaaaa✌✌✌ LINDI mabegani
2026-08-28 16:18:54
14
afrosate
afrosate Media :
🎯 Hit
2026-08-29 15:46:02
2
gainombuyu707
MB GAINO@$4️⃣7️⃣ :
tumekusbili San dingi Lindi mabegani 💪🏾💪🏾
2026-08-28 16:54:52
7
rohanissa61
rohanissa61 :
Home boi wewe ni noumaa sana ndgu
2026-08-29 14:26:53
2
dicksonrobart829
Dickson Robert :
kaka umerudi hii kali
2026-08-28 21:24:33
7
mtotowabend
SHEKHE ANGAI 🌠🇹🇿 :
KINATA UNAJUA
2026-08-29 04:28:16
5
user8612818360259
Brick Tz :
nakubali brow kinata we ni wa kwetu lindi
2026-09-02 18:39:49
3
mi2no.wakuvimba
mi2no wakuvimba % :
unajuwa sana
2026-08-29 13:16:36
2
konde.tv4
A BOY FROM NEWALA :
2026-08-29 15:13:13
3
ndojime_jr
ndojime :
2026-08-29 16:05:26
3
kakaarno001
Kaka Arno :
hii Nisha download bro nasubilia jioni ifike nifunge ofisi niende kwa plot niwaonyeshe kwamba nilibuy radio mpya Jana na Ngoma zenyewe n singeli za kimakonde 😂😂😂😂😂
2026-09-16 13:46:19
1
newtonogog
NEWTON OG :
YOOH✊️✊️TAA ZIKO ON💥💥
2026-08-29 10:49:02
4
a_moo_1
A.Moo :
unyama sana familia
2026-08-29 12:00:02
2
haraxy.haraxy
Haraxy Haraxy :
kaka hii ngoma kali san .elewa neno wakati wa mungu 🙏🙏🙏
2026-09-26 08:38:11
2
user2704815268252
njara tz :
kaka umepotea sana sikuizi
2026-08-29 08:32:23
2
To see more videos from user @kinata_mc12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About