alafu vitu vingne mnalazimishaga tutukane ili mtupeleke polisi
2026-08-28 14:20:57
0
zilu :
good, God bless you.
2026-08-28 13:58:18
0
user4265312935694 :
eeeeeewaaaaaah
2026-08-28 14:15:36
0
Dominic peter :
yaan maelezo yako yamewatetea wenye nyumba tuu na sijaona hata kipengele kimoja cha kumlinda mpangaji kwa kifupi maelekezo yako yamebezi sehemu moja tuu🙌🙌
2026-08-28 15:28:31
2
nicoboyt3 engineer :
jaman jaman tujenge 😂😂
2026-08-28 14:11:16
2
jeco mwakilema :
Sheria imebadilika mbn ilikua miez mitatu notece?
2026-08-28 15:31:32
0
precious ibraah :
Tyuna taka mkataba uwe wa Kiswahili ili tyuelewane
2026-08-28 14:42:59
2
Inosset :
Ee munguu waangalieee maskiniii
2026-08-28 19:20:03
0
Hawa Mohamed :
duh hatar kwakwel
2026-08-28 16:44:47
0
nicprecious :
Asante sana wakili nimefurahishwa na maneno yako wako wale waharibifu wanyumba hao tuwafanyaje chafua rangi haribu mabomba hapo naomba msaada
2026-08-28 18:40:17
0
JUMA WENCESLAUS :
kumbuka kuna matatizozo kutokea kwamtuuj
2026-08-28 17:47:31
0
user5306351741051 :
fanyeni mutakavyo mutajuwa wenyewe
2026-08-28 18:57:02
0
Mummy Bulbul💞 :
vzr sana maana wapangaji wanatusumbua sana
2026-08-28 18:18:41
0
chii❤️-collection :
na mwenye nyumba anaemuhamisha mpangaji kabla ya mkataba kuisha je? mbona unaongelea upande mmoja tu. tunaomba kujua na hilo.
2026-08-28 19:54:39
0
GEE❤️ :
mbona mmetugeuka sasa jamni 😂😂😂
2026-08-28 15:42:08
1
BEN & BECKS Ntabaye :
sasa mbona wenye nyumba uwa hawatoi notice za miezi3 ambayo ipo kisheria pia
2026-08-28 16:40:05
0
Radhia Ahmad :
mtatuuwa
2026-08-28 15:49:46
0
GEE❤️ :
sasa unanipa hapari iliyo andika english kwel
2026-08-28 15:43:09
0
braytonnorobeth1 :
Hapo niwaeleweshe mapema hii sheria haimlengi anae ishi kwenye nyumba ya kupanga hapa wanaolengwa niwafanya biashara wliopanga kwenye frem
2026-08-28 16:06:47
0
OLOKAI WORLDWIDE🎒 :
Sasa Mbona unanipangia nyumba ya kwako mim mpangaji wangu simuamishi kwa nguvu sasa unataka nini 😂😂😂
2026-08-28 15:30:34
0
Reina :
mbona imeibana ?aAchia tuichukue hii video.
2026-08-28 15:38:14
0
Msaronga :
mkoa ninaoishi Kuna wapangishaji wapo makini alikupa mkataba kwenye nyumba yake kabla haujaisha wiki moja kabla anakuuliza kama Bado unaendelea au la ukimcheleweshea malipo tu unakuta kofuli mlangoni vinginevyo uwe na Kodi yake mkononi
2026-08-29 04:26:09
0
samiaamiry :
mbona huzungumzi jinsi ya wenye nyumba kungia kwenye nyumba walizopangisha bila ruhusa ya mpangaji
2026-08-28 15:33:23
0
jeco mwakilema :
Hahahaha duuh!
2026-08-28 15:42:06
0
To see more videos from user @gillybonny_tv, please go to the Tikwm
homepage.