@nuktatanzania: Baada ya kuthibitishwa na Bunge la Tanzania kuwa Makamu wa Rais, Spika wa Bunge, Mussa Zungu, alimpa nafasi Deogratius Ndejembi kuzungumza na kutoa shukrani zake kwa wabunge. Katika hotuba yake, Ndejembi alisema atajitahidi kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kwa unyenyekevu mkubwa, akieleza dhamira yake ya kuwa kiungo kwa Watanzania wote katika kutekeleza majukumu yake mapya.

NuktaTanzania
NuktaTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 11:25:30 GMT
54831
1301
38
99

Music

Download

Comments

musaharunasaidi3
mussaharuna153 :
kunawatu roho inawauma hapo ndugu yetu kupata cheo
2026-08-28 15:54:02
4
user8551510439528
Hadahayo :
kwa wanadodoma Asante sana.
2026-08-28 14:34:33
3
joseph39567
Joseph :
kumbe hata mimi naweza teuliwa kwa jitihada zangu
2026-08-28 15:12:10
3
zawadi7217
Zawadi :
Hongera cn. 😳😳🥰🥰
2026-08-28 19:52:06
1
mohamedikavemba
Kavemba De Last Born :
Bila kupoteza muda muda kiongozi mweny power, energy na agemate ya ujana amepatikana kulipeleka taifa mbele kwa kumsaidia muheshimiwa Rais🤲
2026-08-28 14:02:18
3
clove8704
Theo :
act like a bridge to reach all level of population
2026-08-28 19:18:40
0
user693321161544
user693321161544 :
mara paaa ndejemi ni raisi we huogopi
2026-08-28 20:09:35
0
fodia703
@fodia🥰🥰 :
mmmmh ongera ndugu
2026-08-28 21:08:13
0
burhanimahmoud
Burhani Mahmoud :
Mwenyezi Mungu akuongoze sana Kiongozi wetu Kamsaidie mama yetu vyema katika majukumu yake na pia zaidi Mwenyezi Mungu akuepushe na husda za wali Mwengu.
2026-08-28 18:45:18
1
yusuph568
kibe- wise :
nimemuona kaka makonda 🙏
2026-08-28 14:26:03
1
jackson.albano
Jackson Albano :
hongera sana mheshimiwa
2026-08-28 20:09:16
0
user7307477719829
user7307477719829 :
hongera sana kwa hatua hii kwa pamoja tulijenge Taifa letu🙏🙏
2026-08-28 14:31:32
0
jafari.babayu
JAFARI BABAYU :
hapa tuachane nayote tuwasaidie kulije taifa letu
2026-08-28 18:02:44
0
marykessy655
Mary Kessy :
hakika mungu ni mwema nikumbuke na mm mdogo wako hunaga shda kijjana huna shida tusaidie hata kaskaxin
2026-08-28 21:15:21
0
user3239371187933
Anna :
huyu ndo rais ajae 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-28 18:45:36
0
munya.empire
MUNYA EMPIRE :
hongera nyingi kwako mheshimiwa
2026-08-28 17:03:09
1
dydakhaan
dydakhaan :
hongera kaka kijana makamo kijana wa magen z katupambanie mpe sapot mama tupate katiba mpya
2026-08-28 20:01:55
0
okay.okyesa
okoya.okyesa :
unatakiwa usimamie haki nausawa mkuu kama ulivyo kuwa unafanyakazi vizur
2026-08-28 11:37:27
0
deborahmraha439
deborahmraha439 :
Ameni
2026-08-28 16:54:46
0
fatuma.mzee7
Fatuma Mzee :
M/NGU AZIDI KUKUFANYIA WEPESI ISHAALLWA KWA UWEZO WAKE NA AZIDI KUKUPA MWISHO MWEMA LEO MPAKA KWA M/NGU🙏🙏🙏
2026-08-28 14:35:49
0
user2314080045823
ole nco las :
hatuchukii watu tunachukia matendo mabaya ya watu naubinafizi wakujimiliksha inchi
2026-08-28 22:08:50
0
madee9872
madee :
ungemaliza kwa kusema hapa kazi tu
2026-08-28 13:51:02
0
kweka.sadat
Kweka Sadat :
kaz na utu tunasonga mbele
2026-08-28 16:52:26
0
okay.okyesa
okoya.okyesa :
hongera sana itumikie Tanzania bila kubagua langi kabila Wala chama asante nikitakie kazi njema
2026-08-28 11:37:27
3
the_last_code
Makame Ally Seneda :
The Sky is the Limit. Uongozi unahitaji Cool and Clear Mind. Ndenjembi umestahili. Watanzania Tumekubali. Hongera!
2026-08-28 14:49:24
2
To see more videos from user @nuktatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About