nilitegemea ulivyokuwa ktk nafasi yako uilete iyo katiba mpya
2026-08-28 14:15:01
3
kakakuona :
mzee wa kanisa
2026-08-28 16:18:28
1
Zuberi magoha@99 :
kipindi chako cha uwongozi ulifanya nn mbona hukuiidai hiyo katiba mpya au nichukuza waziwazi kwa rais samia nahata mkipiga kelele hiyo katiba mpya msahau
2026-08-28 18:11:15
0
Nsokoro :
Mwana siasa usimpe asimilia100 ata kdg
2026-08-28 18:54:08
0
Heriel Shoo :
Mzee unasema na watu gani?
2026-08-28 12:28:21
0
GRANDMASSAWE22 :
Katiba Mpya Ni Sasa, Amina
2026-08-28 18:32:36
0
Bahati Mroswa :
sema baba
2026-08-28 17:06:43
0
Charles :
madini
2026-08-28 18:39:15
0
Njowelo :
mzee makn 🔥🔥
2026-08-28 15:42:47
0
user8423887131156 :
nondo za maana hz lakn ukiona mosh unafukuta moto upo chn utawaka naamin mungu atatuvusha kpnd kgumu tunachopitia
2026-08-28 15:20:43
1
Ally hussen Mbaga :
asante mkuu
2026-08-28 15:51:57
0
Seif Seif :
Mzee warioba unatupelekesha hukuwa kiongozi Bora ni mchochezi tu humpendi kiongozi wa juu
2026-08-28 16:29:38
0
filmoni chimemena :
mzeealioba wewe unajua namna yakupata katiba kwenye nchi hii wapewananchi miongozo taifalinaelekeawapi hinchi sijui wachatuone wengine hatuna hak hasa masikini sisi
2026-08-28 14:21:14
1
userAbdul mashine :
Mzwe naomba kuwa mpore sio wote wnataka busara zako ambazo zipo chin Ya viwango kwa xaxa hatuztk wakt wako umeisha
2026-08-28 15:35:11
0
user3420686303690 :
🥰🥰🥰
2026-08-28 12:17:00
0
ZONKIZY :
kweli mzee
2026-08-28 12:55:15
1
mushi :
baba
2026-08-28 19:22:19
0
Samtom :
Sahih
2026-08-28 15:07:20
0
RICHARD NGOWI :
Ahsante kwa hekima
2026-08-28 15:05:55
0
Wizzy Eddy :
kwa si watanzanja tunashida gan mbkna wzeee wana busara kuliko vijana kuidai haki
2026-08-28 15:02:05
0
Florid Fidelis :
walio ikataa kuipitisha iyo katiba iliyo kua inapendekezwa ni ccm
2026-08-28 15:00:45
0
elisha :
ccm hamwoni wazee wa busara kama hawa
2026-08-28 14:55:48
0
joyne :
Mungu atusaidie
2026-08-28 13:02:05
0
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm
homepage.