@kawanga18m: TUMEFANIKIWA KUMPATA JOHN (ABDULMALIK) NIKAMFINYA KIDOGO😒😒😒😒😒 yaani mtoto na mama yake wote ni yanga sjui @fundi_ac_zamagari Tunatengeneza AC za magari kwa matatizo yote, pamoja na spare mpya & used bora. 📍 Kinondoni Manyanya, Dar es Salaam 📞 0769 717 159 (WhatsApp & Simu) 🚘 Tunamfuata mteja popote, hata mkoani! Huduma bora, uaminifu na weledi.
Hivi kwanini Mtu akipita Jangwani haja inakubanaa?
2026-08-28 13:05:01
171
First girl💙🥰 :
mtu anaye jua maana ya soba anieleweshe vzr
2026-08-28 13:52:04
19
NYOTA YA WAREMBO SALON KARATU :
Nyie mnao sema aachane nae asaidie wengine mjue tuu ni wakati wa Mungu kijana kusaidika kwaiyo kwa namna yoyote atasaidikaa tuu tumchangieni ela ya soba
2026-08-28 12:57:52
104
mosesD :
kuna watu wengi kawanga wanatak msaada km huyo ataki achana nae
2026-08-28 12:19:45
36
diana ndale :
Uko soba ndo wapi na kuna nn?
2026-08-28 13:56:46
8
Shaakitchen🇹🇿🇹🇿🍽 :
Kawanga huyu dogo usimchekee kabisa anaona unawema sana,,Sasa atakuzoea vibaya
2026-08-28 12:13:02
41
Gianna Mathias :
[Sticker] Kawanga Unampambania sana Uyu Dogo lkn Ana shukran jmn
2026-08-28 12:31:17
28
Neema fashion Dar :
huyu mtoto duuuu
2026-08-28 12:24:35
5
im Genna :
mama John jmn, wanja huo 🤗🤗
2026-08-28 13:41:23
6
daddyofdaughters2 :
ndugu yake mwingne
2026-08-29 12:11:36
6
Charlie💔 :
Allah akubariki hujawahi kumkatia tamaa
2026-08-28 12:17:38
18
Kizzy mwalabu 🔥🔥 :
Achana nae kuna watu wengi wanataka msaada
2026-08-28 12:14:15
15
christinamlemba94 :
Mungu mkumbuke huyu mtoto na kawanga usimuache ktk maisha yake
2026-08-28 13:09:18
14
💝🦋❤️LOML💕🌸🦋🍬🍭 :
Duuuh mungu tukuzie vyema watoto we tuu 🙏😫
2026-08-28 14:48:04
8
madrasateachersprojects :
Kumbeeeee kaenda Yangaaaaaa
2026-08-28 12:09:21
7
naah💕 :
jmn mbn video ya wardah haijaendlea ten
2026-08-28 12:23:55
6
lululife :
mungu akutie nguvu
2026-08-29 09:11:13
1
❤️🥰MAGRETH LYMO🥰😍 :
daaah nakufatilia sana kakaangu una moyo wa kipkee sana mwenynz mungu aktie ngv
2026-08-28 12:30:28
8
hhjjgg6 :
nimewachoka sasa
2026-08-28 12:38:16
5
Therealbethy🥰💕😉 :
duh una moyo kaka😁😁
2026-08-29 20:35:17
3
nancy official :
soba nd wp kwan
2026-08-28 19:36:48
3
wa mama❤️📖 :
wanja wamama John niwamwana unikome 😳😂😂😂😂🙌🙌
2026-08-28 13:20:57
4
Mamla :
soba ndio wap
2026-08-28 12:40:41
1
🦋jojo🦋 :
yule warda vip me namfatilia cjamuona imekuaje
2026-08-28 16:40:12
4
It's_ Muu🌸🤍 :
ila mam John mrembo
2026-08-28 12:43:15
1
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.