@nijuzenews: Jenerali Ulimwengu: ‘Watuambie waliompiga risasi Lissu ni kina nani na wamefikia wapi katika uchunguzi wao’ Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Walio mpiga risasi hawajakamatwa lakini alie pigwa risasi ndio kakamatwa
2026-08-28 12:56:07
26
Kimario :
sorry 2017
2026-08-28 15:28:36
0
Andrew chilua :
MASWALI KAMA HAYA CCM HAWANA JIBU MANA NIWAHUSIKA WAO WAO WALIO TAKA KUMUWA KWA LISASI LEO WAMETUNGA KESI YA UGAIDI KWA MTUHUYO HUYO SIJUI TANZANIA TUMEKUFA AKILI NA UFAHAMU KIASI GANI UKOSAHIHI GENERAL ULIMWENGU
BSP A E CHILUA
2026-08-28 13:22:22
9
middle master :
wazee wa maana kama hawa na wachache kwenye hili taifa
2026-08-28 13:10:35
9
𝐁𝐄𝐍 𝐊𝐈𝐒𝐀𝐍𝐆𝐀 :
WAZEE WENYE AKILI NDO HAWA SASA 🔥🔥🔥🔥
2026-08-28 18:25:32
3
**orgnlfuraha@♡♡♡ :
2017 guys kasahau free TUNDU LISSU
2026-08-28 15:19:48
2
kibo :
maneno mazito
2026-08-28 13:03:47
3
Aisha Habs :
mzee umeongea neno safi sana leo hio kesi nikubwa jibu hawana hao
2026-08-28 17:54:43
1
Gellar :
blessings kwako mzee💪
2026-08-28 20:07:05
0
Jerman :
Wanashughulia kesi ya kitu ambacho kilifanyika mbele ya watu live kabisaa😳