@bongo_media: Mwanasheria na Wakili wa Kujitegemea, Leonard Manyama, amesema mpangaji anatakiwa kukaa kwenye nyumba, fremu ya biashara au eneo alilopanga ndani ya muda uliowekwa kwenye mkataba kati yake na mpangishaji. Manyama amesema muda wa mkataba unapokwisha, mpangaji anatakiwa kuomba kuongeza mkataba au kuondoka na kukabidhi eneo kwa mwenye mali. Ameeleza kuwa mpangaji anayeng’ang’ania kuendelea kukaa baada ya mkataba kuisha anachukuliwa kuwa mvamizi na, kwa mujibu wa maelezo yake kuhusu sheria na maamuzi ya Mahakama ya Rufaa Tanzania, anaweza kuondolewa kwenye eneo hilo bila kupewa notisi. Amesisitiza kuwa wapangaji wanapaswa kuheshimu masharti na muda wa mikataba yao ili kuepuka migogoro ya kisheria.
Why do I have to move out of the house if I have no where to go..?!🤪
2026-08-30 19:05:07
0
BONGO MEDIA :
Kwa ufafanuzi zaidi wa kisheria kuhusu masuala ya upangaji, kodi, mikataba na haki za wapangaji au wenye nyumba, wasiliana na Mwanasheria na Wakili wa Kujitegemea, Leonard Manyama, kupitia 0765 405 661.
2026-08-28 15:54:39
2
Stivin Manase :
na je vp mwenye nyumba anae pandisha kodi kabla ya bajeti ya serikali haijasomwa hapo vp mwanashria
2026-08-30 08:59:10
1
brack girl💯 :
asiione baba mwenye nyumba yangu😂😂
2026-08-28 14:23:19
2
omarinyakungo :
mnawapa jeuri wenye nyumba tutakoma wavamizi
2026-08-28 18:57:04
0
Sir Wiknelly :
Tumeanza kuingiliana sasa😂😂
2026-08-28 13:37:43
2
FADHIL :
mbona umekasirika
2026-08-28 15:00:07
2
MADAM D :
wambieni na wenye nyumba waanhe kukopa pesa Kwa wapangaji kabla Kodi kuisha msiongelee upande mmoja tu
2026-08-30 03:45:44
1
nuruh :
wakili nina swali
2026-09-17 07:33:56
0
Mary Martin :
mmesikia au niongeze Saudi.
2026-09-02 18:05:43
0
user8140496937728 :
mimi nauliza sheria ya wapangaji ni zipi?
2026-10-09 11:52:03
0
halima :
baazi ya wapangaji wajeuri utafikili kakusaidia kujenga
2026-09-28 11:26:11
0
Mariafa>> :
asante mwanasheriia kwa ujumbe mnzuri
2026-10-01 00:32:43
0
siraji asani :
Mimi mwenyewe Kodi himeisha hap
2026-09-29 19:18:07
0
official arinu baby :
mnatuchanganyaaa
2026-08-28 13:23:09
0
hamad :
sawa mbona ungelea haki za mwenye nyumba lkn mm haki zangu kupanga mbona hausemagi
2026-08-28 14:43:15
0
Maryam Ahmed :
tunaishi kwa kuvumiliana, kutokana na mlivyotuweka huko juu kwa kutubana na makodi yenu
2026-08-28 14:15:20
1
safu :
naomba namba
2026-10-18 04:58:26
0
#GJM### :
mbna huzungumzi ikiwa mwenye nyumba amekiuka mkata huo Sheria inasemaje
2026-08-30 19:21:45
0
phina :
naomba kifungu hicho
2026-10-09 07:42:12
0
judithshirima90 :
Yaaani Mungu akubariki sana
2026-09-01 18:38:00
0
Mzee Wa Kurekebisha :
we jamaa! taratibu basi tuheshimiane tafadhali
2026-09-01 11:27:06
0
Ray de princess :
Asante baba
2026-09-01 06:19:51
0
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Km tumekubaliana mwez mmoja mmoja
2026-08-28 14:25:43
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm
homepage.