@emmanuemutra: #BahariaMAISHAYETU Askari wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Koplo Ramadhani Litupwile akimsaidia kufunga kamba za viatu mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi aliyehudhuria katika Maadhimisho ya miaka 20 ya Polisi Jamii yaliyofanyika Agosti 25, 2026 Mkoani Mbeya #1000followerscelebration @delivery #1000millionviewsviralvideotemplate
delivery
Region: TZ
Friday 28 August 2026 12:22:15 GMT
Music
Download
Comments
BRBrandy Mashauri :
kwa nni alitafta camera inamana,kumbuka msaada wa kwel hauhitaji kutangaza umefanya nni
2026-08-28 15:29:14
30
lucar408 :
Hawa jaamaaa ni wena sana sema ss tuna wachanganya na siasa na mambo yetu binafsi lakin wema sana hakuna askar anayependa kumuonea raia bhn
2026-08-29 08:02:36
44
msese mamba🐊 :
tunataka watu kama Hawa🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-29 05:09:06
12
Mando Classic :
sasa hapo amegusa hisia za nani kwa kufanya kipi
2026-08-29 07:14:02
7
comfort George :
jina la wimbo pls
2026-08-29 10:08:21
7
Samweli Lutonja :
amefanya lipi hapo sasa mi sijaelewa jaman
2026-08-29 12:21:10
1
Tono 25 :
...Vitu vya kawaidaa hvyooo, kwan hao wao ni yunifomu tu
2026-08-29 03:57:37
5
Naomi Mngazija :
Upendo ila ni majukumu anayoyafanya nyumbani kwake so imekuwa kawaida kwake na haoni shida
2026-08-29 04:13:32
7
Monica Somela :
very nice
2026-09-03 04:07:25
2
Retty🇹🇿 :
mungu amrinde 🥰ampe baraka za kutosha🙏✅
2026-08-29 04:37:39
13
@fetty.a.makanyaga :
hongera sana askari kwa upendo
2026-08-29 06:06:25
15
glory mrema :
hongera sana baba bora wwe
2026-09-05 14:59:03
1
mr gain without pain. :
KWAHIYO?
2026-09-03 07:01:45
2
edinalaizer :
mungu aendelee kukupa utiisho daima
2026-08-30 06:30:36
2
gwamaka :
afande heshima⚔️🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-29 08:59:59
1
mukomboz mwiula :
mungu amubaliki
2026-08-29 11:22:25
1
khatibu Mchome :
askari anamfunga viatu raisiwetu wabadae
2026-08-29 06:18:45
5
monica :
2026-08-29 12:08:52
2
omarymshana1234 :
msichanganye chuki na wema wa mtu
2026-08-29 10:18:27
5
ejorajohn82 :
Barikiwa sana
2026-08-29 13:04:00
1
JOSEPH DAVD SHAU :
good
2026-08-29 15:03:42
1
user5525391192823 :
miaka Mia kaka lamah
2026-08-30 07:43:58
1
Ney yo :
vizur sana mungu akubarki
2026-08-30 06:45:16
1
winnie :
mungu ampe maisha marefu
2026-08-29 12:11:10
1
Mom eve :
Mbeya wakarim sana
2026-08-29 09:01:24
1
To see more videos from user @emmanuemutra, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.