@breezt4: Padre George Nzungu: Kwaya nyingi hazijui Malengo yake ni nini, Watunzi Wanatafuta Hela kwa kutoa Single, Hawafanyi Mafungo wamekuwa DRY Kiroho #breezonlinetv #KanisaKatoliki #news #Tanzania #Nairobi #mkombozicommercialbank #BaloziwaAmani #woisooriginalproducts VIDEO SOURCE:Jimbo Kuu la Mwanza | JKM Online tv

Breez Online Tv
Breez Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 13:00:00 GMT
26806
1259
54
470

Music

Download

Comments

user56076828703980
user56076828703980 :
Asante padre tuombee sana tupate neema ya kuomba
2026-09-03 08:43:26
1
adela.mlowe5
Adela Mlowe :
kweli kabisa wengine wanaimba kwa sababu ya kushona nguo mpy
2026-09-02 08:26:21
7
michaelchira0
master 🥧 :
wacha watu watafute pesa , we unajua huwezi elewa hiii shida watu wanapitia mambo mingi sana kanisa saii atah ni kutoa tu pesa kila wakati na madeni sijui wapi sijui wapi na saio hkn pesa
2026-09-02 10:04:03
5
user60251060762884
Emma Malenga :
Fr malengo tunayo na uimbaji ni shughuli kubwa kweli kweli bila pesa haiendi na tukiomba kanisani mnatunyima
2026-09-03 08:22:18
4
willeysaidi
Willeysaidi :
Mbona kanisa katoliki linahubiri na bado linafanya Biashara. Mnajenga Mahospitali na mnatutoza waumini kulipa gharama za matibabu kwa nini msitutibu bure? Mnajenga shule halafu mnatulipisha ada?? Kwa nini msiikomboe jamii kwa kuisomesha bure?? Si tunatoa huduma??
2026-09-02 07:19:53
2
constantine_fidel1
constantineanthony :
Mh sawa natamani wanaowahukumu wanakwaya wangekuwa wanakwaya na wao. Kwenye masuala mengine kama mpango kazi ni sahihi kabisa. Kwenye mafungo, kwaya iko chini ya kanisa lakini watu wako tayari kuangalia wapi wanakwaya wanakosea kisha wawakosoe, hawatoi ushauri wala uongozi wa kiroho.
2026-09-02 17:21:48
1
nziku_dottomadili
Madili :
Asante MUNGU kwa ujumbe huu,Tunapswa kutumia talanta zetu kujipatia utakatifu na sio sifa za hapa duniani,kwaya ni chombo cha cha kanisa cha uinjilishaji sio band ya muziki,tuimbe kwaajili ya sifa na utukufu wa MUNGU nasio kwaajili yetu,tubaki kwenye misingi na asili ya muziki wa kanisa tusijione bora zaidi,hata shetani alikua malaika wasifa mbingu alipo jiona yeye bora akapata kiburi na kuacha kufuata maagizo ya MUNGU kwa kujiona yeye ndiye anaye stahili kilicho fuata kina julikana,Sifa huleta Majivuno nayo huzaa kiburi kiburi huondoa utii mwisho UASI ,tukipenda sifa tuta jivunia kisha tutakua viburi bila sisi ibada hazinogi hapo utii umeondoka tutajitoa kuhudumu kanisani tuhudumu majukwaani mitandaoni na kwengineko UASI sawa na alivyo fanya Shetani Tuzingatie Kaulimbiu zetu 1TUMUIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI 2 WANAKWAYA HATA MBINGUNI TUTAIMBA HASA TUKIWA WATAKATIFU, tutumie karama vipawa na sauti zetu kumtukuza MUNGU ili tupate kuwa watakatifu
2026-09-03 05:58:28
2
monicahkim2015
user5957079215839 :
Nikujitolea
2026-09-03 05:19:31
1
josephludovick2
josephludovick2 :
nani anasimamia Kwaya? nani ana ufahamu wa Theolojia kuongoza Kwaya? nani anaongoza Mafungo kwa kwaya....huyo ndo hasa aambiwe haya maneno
2026-09-01 15:17:38
2
prosperthomas1
Prosper24788 :
Janam ametusimanga kwelikweli
2026-09-03 06:30:44
1
kwaya.ya.mt..mari
Kwaya ya Mt. Maria Goreth :
uishi Miaka Mingi sana Baba
2026-09-02 18:15:55
1
jack198779
Jack@1987 :
sure
2026-09-02 09:08:36
1
user81100115151173
Beltord Libaba :
Mimi sjaelewa nn amemaanisha
2026-09-02 12:46:55
1
graceannamaumba
GRACEANNA F MAUMBA :
kweli fr,
2026-09-02 16:03:20
1
madamcheupe1
MadamCheupe🎓RIP ALVIN🕊 :
Mmmh
2026-09-02 11:39:47
1
madelinekoku
madeline koku :
Kwa kweli umenikosha
2026-09-01 14:00:06
1
anastaziaclement3
Anastazia Clement :
padre wa parokia ya myamhongolo jimbo katoliki mwanza mungu akutunze uendelee kutupa mafundisho mazuri
2026-09-02 17:51:07
1
willeysaidi
Willeysaidi :
Baba padre kuhusu kwaya kutafuta fedha /kufanya biashara umekosea. Mungu ametupa vipaji ili vitufaidishe. Pamoja na kwamba tunaijilisha lazima pia vitulishe.
2026-09-02 07:16:42
2
evaristlazarogemail.com
evalistlazaro :
dahhhhh real
2026-09-02 05:35:48
1
user2288479948875
sagwejulius1@user2288479948875 :
Kweli kabisa padre
2026-09-02 07:38:49
1
user4598800367093
Lm :
daah wangekua wanaelewa kweli tungebadilika mar moja
2026-09-02 05:16:21
1
kamaucharles5000
kamaucharles5000 :
kweli
2026-09-01 19:30:11
1
mutuacaroline266
Caroline Nick :
kweli kabisa padre
2026-09-03 06:53:25
1
michaeljames5846
Michael :
Ni kweli father
2026-09-02 21:15:31
1
user3112019065861
user3112019065861 :
kwa kweli umenikosha baba sahv wibaj ni ela
2026-09-01 20:26:28
1
To see more videos from user @breezt4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About