@nijuzenews: Prof Shivji: ‘Napendekeza tuwe na katiba ya mpito kwa kurekebisha katiba iliyopo’ Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Yan ivo unavosema shida ni kwamba viongozi waliopo madarakani wao ndio wahusika wakuu mfano mahakama huru ya kuchukuza na kuukumu kuhusu October 29 wanaogopa na awatakubar..mfano raisi mwenyewe ndo mshtakiwa mkubwa ye ndo muuaji apo awez kubal
2026-08-28 13:46:13
8
Abduely :
kweli kabsa uishi milele
2026-08-28 13:25:07
5
Luxvanny :
mzee katika point muhimu sana👋👋👋
2026-08-28 13:25:23
4
Konzi Jr :
Hayo yote aliyosema mzee shivji ni maelekezo ya wazungu
2026-08-28 15:16:13
1
Rogatus Rwamlema :
CCM UMEWAHUSISHA MZEE MAANA WAO NDIYO KATIBA ,UKILETA KATIBA NYINGINE UNAOOOOO
2026-08-28 15:09:38
1
Balaka Tz Stephan :
wazee wa busara kama hawa ni hazina kubwa sana
2026-08-28 13:31:40
4
khajjiahmed :
hii ndo azina ya nchi yetu
2026-08-28 13:20:02
4
DPT :
kuna watu hawapendi kusikia hvyo😂
2026-08-28 14:40:41
1
AMANI MAHMUD :
katiba itaundwa na Raisi Samia kwahilo atalitekeleza
2026-08-28 16:11:02
0
Seif Kabelele :
SAFI. SAFI. SANA
2026-08-28 15:47:14
0
Tan seven :
tunataka katiba Mpya mzeee unatuchanganya
2026-08-28 15:26:10
0
Petro Julius :
pameanza kuchangamka mimi naomba hili liwe glup lakudai haki kila wiki duniani wasikie ipaze sauti
2026-08-28 15:38:09
0
elibariki :
kwani mulikuwa wapi wesee wetu
2026-08-28 14:34:51
0
Enock Makoga :
tuliuliwa huo ndio ukweli hasa
2026-08-28 15:34:37
0
Jovent Mugisha Mushwaimi :
Naam mawazo mazuri sana
2026-08-28 15:20:05
0
Sure1 :
Kuna Mahali sijaelewa:Katiba ya Mpito iseme Walioshtakiwa kwa Ugaidi na Uhaini Waachiliwe huru. Hiyo Katiba itatumika kwa Kipindi gani?, Ikiwa wataachiwa wanaoshikiliwa sasa, vipi wakijitokeza wenginne kufanya vitendo hivyo?, hawatachukuliwa hatua?. Hapo ndipo utagundua kuwa hata huu Mjadala ni wa Kisiasa wala sio hitajio la Wananchi.
2026-08-28 15:53:52
0
vaps49 :
Mzee una hoja nzito lakini nani wa kuzitekeleza? Bunge lake, Serikali yake, Dola na vyombo usalama vyake??
2026-08-28 15:26:47
0
Godfrey Gumie :
upo sawa
2026-08-28 16:18:39
0
Faith :
hiyo katiba ya mpito impunguzie muheshimiwa majukumu ya uteuzi na pia kuwe na kipengele cha viongozi kuwajibishwa wanapokosea.
wawe wanashitakika na kuwajibishwa
2026-08-28 16:27:18
0
fransisconkuyumba :
HAKIKA itawezekana
2026-08-28 15:18:04
0
Uncle Pastuzo :
moto moto
2026-08-28 14:45:31
0
Boy Man :
sasa wahusika wapo ikulu na mapollice waliouwa wako.makazini
2026-08-28 14:40:10
0
Witness Joseph :
haraka ipo mzee
2026-08-28 14:40:05
0
Abdul Mhina Mgosi :
Hawa wazee wana akili sana
2026-08-28 14:36:52
2
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.