@bekamtanzania: KAMA NI WEWE UNGEFANYA NINI?

Beka Mtanzania
Beka Mtanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 13:22:03 GMT
74705
1110
143
463

Music

Download

Comments

yeyoo588
Enock :
i currently dont work for u 😁
2026-08-28 15:53:46
0
racheldmakoye
Mrs.Elly :
Kwishaaaaaa 😂
2026-08-28 16:32:56
0
mr.solutions39
Mr Solutions :
Halafu ukute una warning letter 2 imebakia moja uage mashindano hahaha.
2026-08-28 15:16:53
12
mauzel065683
🦋🦋mauzel83🦋❤️ :
nabadilisha line ,jina langu ,shape yangu na Kila kitu 😂😂😂😂😂
2026-08-28 15:39:28
3
aramizkinghplatform
Aramizkingh Platform :
mbona 60M pesa ndogo sana akii watu wanashadadia hivyo,,, be serious you people
2026-08-28 16:47:10
2
enfantdemaman2
BADE'S_OfficielXIV :
Kwani wewe ni nani kiongozi 🙌🏼🤔🤔🤔 mbona kama sikukumbuki
2026-08-28 16:40:35
3
9thespiritofhealing
Maasai herbs point :
sipo nimekufa toka juzi😂🏃🏃🏃
2026-08-28 15:44:43
2
mwana_shoko
Mwana :
kwan bado hiyo namba wangekuwa wananipata tena ngeshabadili hadi jina la ukoo acha lain tu
2026-08-28 15:28:54
5
flipside602
flipside02344 :
samahani boss nimechukua advance ya mshahara wa miaka kadha😂😂
2026-08-28 16:28:46
2
sabitina25
sabisma1 :
Mi mwemaaaa
2026-08-28 16:48:24
1
offical.mayere
##OFFICAL" MAYERE## :
sasa boss kwenye sms hapo umecheka nini sasa 🤣🤣🤣
2026-08-28 16:14:38
0
minahdaunique
minah19932323 :
nyie sikieni tu iliwah nikuta hii hali njaa hiz jmn khaaaa stak kukumbuka
2026-08-28 16:09:23
0
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Samahani bosi, nimeacha kazi nimehamia nje ya nchi kwa sasa... nipo dubai..
2026-08-28 16:14:24
1
enjinia_chacha
Enjinia™ :
nimeaga dunia🤣
2026-08-28 16:11:42
0
rodgers_2000
rodgers mkomba :
naacha kazi siku hiyo hiyo na kuhama mji
2026-08-28 15:40:50
0
user3631530160925
375999 :
Mbona Mimi sijaajiriwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸🤸🤸🏃🏃🏃🏃🏃🏃
2026-08-28 15:48:25
2
dorcas.juniory.san
Dorcas juniory sanga :
mm hapo Sasa watanikuta Kwa kamba maana sintaweza
2026-08-28 15:35:58
0
room4mens
room4men's :
too late 🫩
2026-08-28 14:53:28
0
nurymohd05
NuRy🦋 :
muda huo
2026-08-28 16:19:18
2
janethjohn80
janethjohn80 :
Iyo kadi ya NMB NILIMPA MAMA NA AYUPO YUPO NJE NA ATUWASILIANI NA NAMBA ZAKE SINA
2026-08-28 19:15:46
0
khalima.siraji8
Bajun :
apo nishamwambia mama aite fundi vunja nyumba yote ila mimi jingekurudishia laki6 tu ya ahsante😂😂
2026-08-28 19:21:09
0
To see more videos from user @bekamtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About