@wasonacollection: #fppppppppppppppppppp #tanzaniatiktok

Wasonacollection
Wasonacollection
Open In TikTok:
Region: ZA
Friday 28 August 2026 13:34:24 GMT
31377
883
134
38

Music

Download

Comments

hairat863
Aira 💕Butterfly 🦋🦋😍 :
Da wasona beigan🥰
2026-08-28 19:31:51
0
ninaaluwe
ninaaluwe :
kweli kbsaa wivuuuu tuuu wamaashost
2026-08-28 19:01:55
1
aysher.nindi2
Aysher Nindi :
Wana roho mbaya tu hawataki wenzio wapendeze
2026-08-28 17:41:17
9
chekanaissa2
busineabdu :
kujaribia nguo ni kizaman Sanaa.tunaacha mikosi kwenye nguo.
2026-08-28 17:40:05
3
mariam.omary49
Mariam Omary :
naomba namba nahitaji
2026-08-28 17:45:18
2
mmh67766778
walki234 :
kweli inakera
2026-08-29 08:24:58
1
user210374870305
Glorytesha :
mtu anavaa yy anaongozwa namawazo ya mtu mwingine
2026-08-29 14:08:51
1
mgabo89
masala gabo :
Nataka shati izo
2026-08-29 06:32:27
0
sada48433
sada :
uko wap dada
2026-08-28 17:42:43
0
paschazia67
Mama B outfits Kahama :
Nimezielewa sana
2026-08-28 16:06:47
1
sadounahi
sadou :
Mimi Nilitak kuja, ila sitembeyaki peke yangu 😂😂😂😂
2026-08-29 06:20:38
0
sally70325
Smart Sally’s Solution :
😁😁😁wasindikizaji jmn
2026-08-28 17:52:16
1
emma_viatu
Emmah Ngalu :
Naomba namba jmn nahitaji mydr
2026-08-29 09:48:17
0
nkwande55
Helena :
Mko wap na bei gani
2026-08-29 07:40:30
0
chancebby2
shance :
iyo tabia nilikuwag nayo tukija tuko wawili najikut nimebeba kitu kibaya
2026-08-28 20:53:15
0
user9314873600038
teah :
Nahitaji yako wapi pls
2026-08-29 08:08:12
0
shahmaashahmaa
Shahmaa❣️💓💞 :
mm nataka bluze lenye wekundu apo nipe bei nitumie kanamba ap
2026-08-29 04:28:20
0
careen5765
careen :
Naomba hizo upo wapi bei gani
2026-08-29 06:02:29
0
salomemdoe
Salome Mdoe :
Na hapo ameshakuchosha kujaribu nguo kama zote na anachukuwa moja😁😁😁😁 wanajua kutulera
2026-08-29 08:27:04
0
babep271
BabeP 💕💕 :
Kweli kabisaa
2026-08-29 08:11:10
1
mom.g617
Emmy Cute :
Mi ndo mana nakujaga peke angu 🤣🤣🤣sitaki mawazo ya mtu kwenye maamuzi yangu
2026-08-29 03:55:55
2
user8412537913530
Reina :
kunywa soda was ona. bora wewe umesema wanakela sana kiukweli.
2026-08-28 16:39:41
2
namtalh_collection
Namtalh Collection :
Wanazitia Nuksi tu.akuna kujaribu mimi Dukan kwangu.🤣
2026-08-29 11:37:13
1
userdfwcwn3nf8
Angel2020 :
Kweli kabisa umesema dada
2026-08-30 02:48:17
0
user397695653100
asha :
hyo sh ngap?
2026-08-30 15:46:45
0
To see more videos from user @wasonacollection, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About