@iycsigntv: Binti katuma ujumbe kwa #niffer anawatumia watu kwa kujifanya anawasidia Muusika: binti 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
@Yt-Emmy: Leo ndo nimegundua maana ya hizi emojis
😂-a
😄-e
😁-i
😮-o
😯-u
Makofi kwangu 👏👏
2026-08-28 17:54:58
21
kouzglue :
hla mademu hampendani kwakweli
2026-08-28 16:15:26
28
£sther ernest💞🌹 :
kwann m2 akipewa simba ndy hela vpnz??
2026-08-28 14:35:23
12
zeyneep :
Asalam aleykum......
2026-08-28 19:32:57
0
Rene :
kwaiyo nawewe unatakaje
2026-08-28 15:30:16
8
Miriam Masatu🇹🇿 :
Sasa si anatafuta namna ya kukuza biashara yake.. shida Iko wapi
2026-08-28 18:08:49
13
sheila :
kwani tatizo lliko wapi?
2026-08-28 15:04:43
9
Janeth John🦋✅ :
Iyo ndo inaitwa kufwatilia maish ya mtu si umuache ni maisha yake jmn 😂😂
2026-08-28 14:55:23
13
CHETE❤️♥️🥰 :
Watu wana tumia vitu ,kitu ,watu na mahaliii kupataaa mafanikio 😂😂success not for week jamn kma sio idol wako basii tuangalieee tu lkn baadh ya watu anawa motivate 💖🥰na mm nampenda jamn 💖🥰
2026-08-28 15:14:42
15
Maryeemy😘 :
kujipotezea muda bila kujijua
2026-08-28 14:58:28
9
braroo :
Sasa akinipa alaf mie ndio nikamtangaz nakumshukr kuna ubay kwel
2026-08-28 15:03:15
7
kidoti :
Bora umeniongelea pangu mwaya yani ni humo humo
2026-08-28 14:14:24
11
Aquarious♒️💦 :
Kweli jmn🤣🤣🙌
2026-08-28 14:26:25
6
Chisom🌸✨ :
Kwaio sas Unataka Tufanyaje..? Kwn kuna shida gan mtu akitrend
2026-08-28 15:22:43
5
Charismatic Fey🌸 :
Kosa liko wapi kwani
2026-08-28 18:45:18
2
samy :
Kwani simba ni pesa?
2026-08-28 20:46:35
3
🌹 :
me mpya Tiktok simba ndo nini?
2026-08-28 20:47:15
4
شمي نسب :
babie kila mtu anapambana anavojua yey
2026-08-28 18:33:39
3
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.