@mrkelivin612: Replying to @elisha.ayo95 sio kwa ubaya tuna kumbjshana

mr kelvin
mr kelvin
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 13:48:53 GMT
2620
304
37
45

Music

Download

Comments

matete.the.cash
matete the cash🤐🤐 :
hahaaaaaaaaa
2026-08-29 05:47:31
0
kitengeigula
Kitenge Igula :
tarehe 29/10/2025 tulijificha nao
2026-08-28 20:19:54
4
user5306351741051
user5306351741051 :
sio ivyo tuuuu mashuda wanalipwaaaa jioni kwa kushuhudia uwongo alafu wewe UKIENDA KUTOA ushuhuda uruhusiwi unambiwa muda umeisha
2026-08-30 05:13:02
1
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
Mtu mwenyewe Anayebeza dini ona mazingira Anayoishi 😂😂
2026-08-29 05:39:31
1
high5level
@high5level :
bro nakubali
2026-08-30 10:33:09
0
kitasamba5
kitasamba5 :
Sema yote baba
2026-08-29 09:32:26
2
yessbmelody
yessb melody :
mimi nishaga pingana na mambo ya kanisa au mskiti, Kaka mimi nakubaligi maneno yako👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
2026-08-29 15:18:36
1
maiko.mwita8
Maiko Mwita :
mr kelvin... mbona unatua libia biashara ndugu yangu kwani wachungaji tume kufanyia nini
2026-08-29 14:41:02
1
mussasengo
custodian :
0
2026-08-30 08:03:46
0
user66158790563853
Leonard002 :
Ndiyo baba huo ndo ukwer
2026-08-29 14:53:27
1
majutz3
Majutz :
Ukwel huu watu wanajifanya hawakuelew mzee ila waongo sana aseeh
2026-08-30 11:58:03
0
user2482760334398
Lilian nicolaus :
acha kuharibu biashara za watu
2026-08-29 18:29:09
0
allyally3406
Ally Ally :
Daa ila wee jamaaa
2026-08-29 15:16:34
1
alkebula1
Theee Alkebulan :
wapewe ukweli
2026-08-28 14:22:11
3
james.kayombo6
James Kayombo :
hakika mkuu
2026-08-29 06:03:53
0
user26594533821073
kinyonga :
ni kweli apo kwa waganga hata yesu alikuwa mganga😄
2026-08-29 07:28:49
0
khamis7314
khamis :
Uchungaji ni uchumi acha kuharibu biashara
2026-08-29 01:08:00
1
king.of.storage
King of storage :
kaka kuamka lazima watu waamke
2026-08-29 08:19:49
1
jongwe.04
JONGWE1 :
sio wengi wote ni waongo
2026-08-29 03:59:50
0
asinaty.william
Asinaty William :
ni kweli kaka
2026-08-28 19:34:32
0
userflowin
Myamba :
ni sahihi lakini
2026-08-30 13:36:17
0
t405dgb2
J4 :
Bola umenisaidia kutoa siri maana ilikuwa imenikaba koo iyo wachungaji kuenda kwa waganga 2003 nilikuwa naendesha tax nimewapeleka sana hapo ndipo nilipo amini vyeo bila uchawi hakuna kitu 🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 12:54:03
0
lumumba.kambere
LUMUMBA KAMBERE :
kkkkkk kkkkkk
2026-08-28 22:31:46
0
chayavillage
chaya village⭐️ :
hawaezi enda sababu hakuna maigizo hospital
2026-08-28 21:52:41
0
elisha.ayo95
Elisha Ayo :
sawa mkuu
2026-08-28 17:58:45
0
To see more videos from user @mrkelivin612, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About