nasikia siku hizi Sheria inakuja ukisema ukweli ni kesi ya uhaini kabisa๐๐๐
2026-08-29 09:42:51
0
jackline simbila :
eti marekani hawataki wanywa damu , marekani wenyewe wanywa damu wamekunywa damu za mataifa mangapi acha kuipamba marekani kaka
2026-08-29 10:56:47
0
Moudbonge :
Mm sijakuelewa mpaka muda huu unamaanisha
2026-08-29 08:39:52
0
wiittole :
Kwa hiyo wewe umemuamini huyo mzee??
2026-08-29 10:40:02
0
staa j :
kaka nimeamini watu wote ni ccm ila kuna watu tuna tamaa kwa mujibu wa huyu mzee tuache kumsumbia rais wetu bana chadema sio chaguo la watanzania bana.
2026-08-28 16:25:52
1
user711235653081 :
Mungu atusaidie mzee baba rudi mungu baba tufufulie jaman๐ญ
2026-08-28 15:06:58
1
bella anthony :
Ndio maana wanasema ahaminiki kwa sasa
2026-08-28 15:19:46
0
Beatha Gitagno :
mpaka tufike tumechoka sana
2026-08-28 15:03:45
0
Bibij :
Hata yeye alisaidia kutaifisha nyumba za watu na hawakutska kuzirudisha...
2026-08-28 18:00:48
0
Emmanuel Mandoo :
mbona CCM funded na wachina
2026-08-28 14:18:51
0
Enahbabeโค๏ธ :
Yaani TEC HAWAFAI
2026-08-28 14:29:53
0
ramjey_25 :
walipue tu
2026-08-29 06:30:07
0
WEKA2WEKE :
marekani si hawataki wanywa Damu
2026-08-29 09:44:07
0
jackline simbila :
kaka wa taifa toa nondo
2026-08-29 10:53:40
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm
homepage.