@sirajiyahayasiraji:

sirajiyahayasiraji29@gmail
sirajiyahayasiraji29@gmail
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 13:59:24 GMT
75835
3469
178
92

Music

Download

Comments

user6108181115081
Emmy Nadoh :
Sifa zote na utukufu ziende kwa Muungu🙏 wetu muumba wa mbingu na Ardhi na vyote vilivomo
2026-08-29 10:53:25
25
mariammganga107
mamujes :
aisee kwa nchi za wenzetu wanashuhudia vitu vya kutisha sana,, Mwenyezi awahurumie
2026-08-28 17:17:44
32
user5114835155035
Kelly nelson 💋❤️ :
kwani Chanzo Cha hayo mafuriko ni kitu gan
2026-08-28 16:53:41
7
diva.the.boss97
Diva the boss97 :
dah usiombe yakukute
2026-08-29 15:59:53
3
sweet.lady253
Sweet lady :
sa me najiuliza wanautolea wp mda wa kurikod kwny janga zitto km hili waso okowa w2 naa kuwapelek sehm nyengne😢😢😢ya rbbby wasameeeeeh waja wako ya rbby yamalika llmullky fny wepes wako ya rbby hakika hakuna anaeziweza hgadhab zako
2026-08-29 02:06:43
7
gulilaga123
Gully :
Nepal Mungu awape wepèsi
2026-08-29 13:57:07
4
user6008141735757
lilian :
hii nyumba hapa kwa mafuriko yote haya ni ushuhuda kwakweli
2026-08-29 04:12:57
7
lucybosco85
Mama Shishi&shedrackboka🩷🩵 :
jaman nauliza tu hayo maji hayana pa kwenda ili yapungue
2026-08-29 09:29:33
5
prettymaggie01
pretty Maggie :
Ee Mungu tunusuru sisi na nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 na utujalie mwisho mwema
2026-08-29 19:48:51
5
cuty.eyes5
Uhalisia23🙃 :
ni siku za mwisho tu hizi jamani🥺🥺
2026-08-29 11:54:35
2
fetyrisay.chimami
Fetyrisay Chimami :
Duuuhhh Mtihan wallah
2026-08-29 13:46:56
1
madumpslce1
@echo-ame :
gharika ya Nuhu tumesoma lakini hatuamini haya sasa zamu ya vitendo nyie mungu yupo tusali sana
2026-08-29 07:20:43
11
prettyrushayna
Pretty rushayna ❄️🦋 :
mungu tujalie amani tanzanie yetu utulinde Tanzania tujalie mwisho mwema🙏
2026-08-29 17:24:08
1
esterkessy403
esterkessy403 :
ikija tz hii tumekwishaa
2026-08-29 07:58:50
0
mabusiness00
zay✅ :
mungu yupo kwann wachome vitabu na nyumba za mungu waliyataka
2026-08-30 20:06:38
0
user1163799166673
lenlen :
MUNGU tujalie mwisho mwema
2026-08-29 19:33:52
1
user8342116113618
Omar bare :
mungu rahim kwa kwel
2026-08-29 10:42:06
0
user4733700846379
kenedy G Y :
MUNGU tusamehe sis waja wako baba
2026-08-29 10:09:41
3
babyzai55
Zaicute_model :
Heeee mungu wangu tunusulu 🙏🙏🙏🙏na majanga 😭😭😭😭😭😭
2026-08-29 16:06:14
1
rajabjumanne915
TK 1 :
wap huko
2026-08-28 16:22:22
0
user6zuhurash
Da zuuu collection🪡🧵👗 :
Mwenyezimungu Tunakuomba uilinde Tanzania nautupe Amani ya kudum
2026-08-29 17:04:35
2
yasintajoseph4979
ista2007 :
nimeiona mwanzo wavideo Hadi mwisho eti hii nyumba isije ikadondoka,namwambia MUNGU wangu nakuomba hii nyumba isije ikadondoka😭😭😭 ilipoisha video nimepata kupumuwa
2026-08-29 08:07:08
1
mariam.shariff23
we oll us :
dah! utasema movie
2026-08-28 22:22:04
1
asiabido06
asiabido06 :
Allah wanusuru Waja wako
2026-08-28 17:02:43
1
To see more videos from user @sirajiyahayasiraji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About