@msemakweli_macha: Dm me please kama uko na Miche ya ndizi hii #msemakweliafyatips #ndizi #mbegu

Macha Msemakweli
Macha Msemakweli
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 14:05:28 GMT
527671
10470
562
521

Music

Download

Comments

salhaabuu2
Female Tarzany🥷🫦 :
For the first time naona banana passion 😂😂🙌
2026-08-28 16:27:43
672
fyn_gee02
Miss-Gee :
Kuna mimi ndyo naziona leo
2026-08-28 16:14:22
1262
gracekibune
gracekibune :
hizo ni ndizi poli ndo wanazo kulaga nyani
2026-08-29 04:57:11
174
montana_sportsweartz
Montana_sportsweartz :
hizi ndo ndizi halisi zina seeds ndani
2026-08-28 16:22:46
34
tanasha.njovu4
mrs Richard :
kwetu tunaita ndizi nyani izo huwa wanakula nyani zinaota polini songea moja iyo
2026-08-28 17:18:59
15
emmy.kaaya03
Emmy :
nnazo za kutosha ata sikulipishi uko wapi nkutumie
2026-08-28 16:44:21
32
crnbaby1
crn baby 🦋🦋 :
Ndizi msiba izo zimepotea ila kwe2 ifakara zipo
2026-08-28 15:56:52
51
...p.i.n.e.y
it's me p 🍿🩶 :
ninazo ila niza mviringo kama passion ilasio passion 😂😂
2026-08-29 05:55:46
40
dionisia.soka
Dionisia Soka :
Ninao kabsa ila uniambie kazi yake kwanza
2026-09-10 12:38:43
0
this_is_feymani6
ₜₕᵢₛ ᵢₛ fₑyₘₐₙᵢ 🎀 🎀 🎀 :
Ndizi au passion 😂😂😂😂
2026-08-28 16:22:26
9
valourtrice
valourtrice :
Banana passion 😂
2026-08-28 17:01:27
9
user4031260150968
mom shaz♥️ :
yapo isyonje huku yanaitwa mankunku
2026-08-28 15:59:03
5
mr.kapela.official
officiali mr kapela :
siondizi nimatunda yapolini ayoo mzee ayaliw yanafanana2 nandizi
2026-08-30 10:05:34
3
user9713914356954
fetty d :
ndizi alizoumba mungu
2026-08-28 15:37:50
15
zablonkhalid
Zebokhal :
hizo ndio ndizi halisi na siii hizi tunazokula sasa
2026-09-12 14:19:51
2
user5610753236922
....... :
meru county (kenya) tuko nazo kwetu
2026-09-06 08:22:14
0
neydah.j
Neydah J :
Nitafute Mimi kwetu kijijini ziko nyingi porini wanakulaga nyani
2026-08-29 06:07:12
5
jophsanga
Joph Sanga :
m ninay ila n njombe
2026-09-19 06:53:39
0
tulisa332
T✨💗💞 :
kheee Kwa mala ya kwanza naona hi
2026-08-31 13:35:30
2
mkamandume1
Djumaa :
kwetu Pemba yaitwa migomba kofi ipo teleeee twaifyeka tuu.
2026-08-29 06:54:39
3
mariavsdqjk
miracle :
Kuna mtu kasema banana Passion 😂😂😂
2026-08-30 04:12:03
2
barikixauusd
♓️Bariki xauusd🧿 :
hio ndio ndizi ya asili kabla ya hizi ambazo hazina mbegu
2026-09-06 14:19:07
0
user83298066967864
user83298066967864 :
kwetu zimejaaa kumbe Zina Dili au
2026-08-29 03:59:38
1
damrembo2
wolper mdogo :
eh mpaka huwa nazitupa hazina walaji kwa hapa mtaani kwetu bro
2026-08-28 23:49:19
4
To see more videos from user @msemakweli_macha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About