@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amesema Si Vyema Kwa Mwanamke Kila Wakati Ukigombana Na Mkeo Akidai talaka Na Wewe Unatoa Talaka Si Jambo Jema na Jambo Zuri Kila Wakati Unapoombwa Talaka na Wewe Unatoa Sababu Kwa Kiasi Kikubwa Umelazimishwa Kutoa talaka Kudai na Kutoa talaka si jambo Ambalo linapendeza Kufanyika mara kwa mara sababu kila mtu Anachangamoto zake na Sehemu Pekee ya Kurekebisha izo changamoto ni kuhakikisha Wewe Kama Mume Usitoa Talaka kila Wakati Mkeo Anapoomba Sababu Anayedai talaka akipewa tapaka anaweza Kua Akujiandaa Kupewa Talaka Na Anayetoa talaka naye Akua Amejipanga Kuitoa iyo talaka ivyo Lazima Maamuzi yafanyike Kwa Busara Katika Maamuzi ya Utolewaji Wa Talaka