@eng.ahmidy_nayova: #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #ugandatiktok #building #africa

AHMIDY BUILDER👷🏽‍♂️🦺🚧
AHMIDY BUILDER👷🏽‍♂️🦺🚧
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 14:31:06 GMT
525689
13114
878
1052

Music

Download

Comments

kevotz08
🍁C A PTAIN KEVO🍁 :
umeona hii room3 za kulala hilo boma limemeza m9
2026-08-29 06:33:41
155
mangisenior
MANGISENIOR :
cement elfu 20,000 hapo imekula cement 70 nondo mm 12 elfu 27,000 hapo imekula nondo 50 kama umesuka 3 kama umesuka 4 imekula nondo 65 mchanga lori ndogo 6 lori moja laki na 20 imekula tofali 2500 tofali moja linauzwa 1700 bado kokoto lori 1 moram au udongo wa kujaza bado misumari bado mbao za profile hapo mbao za kufungia msingi na lenta bado labour charge ya kazi hapo ikila pesa kidogo sana ni milion 12 usidanganywe na mtu
2026-08-28 15:53:01
85
paschaltemba191
Vasco da gama :
mm kama saidia fundi nimesema kwamba ukitaka kujenga uwe na kianzio ml 15,
2026-08-29 13:23:15
35
nyuk.bee
bee :
bajeti ya uongo kabisa et siment 25
2026-08-28 17:05:22
45
sabina.sabinam
sabinasabina94 :
haponimetumia tofari2300 alafuchini nilitanguliza mawegari2
2026-08-28 17:16:38
9
dianaadonias774gmail.com
maney official 954 :
mimi mpaka hapo nilikuwa nimetumia milioni 6 na point
2026-09-01 14:12:26
4
queen.precious.lov
queen precious love :
hapo hamna hamna siyo chini ya million 8
2026-08-28 19:08:24
10
charzbm
charz Bm :
uongo mtupu
2026-08-29 08:52:53
6
fredykalisa
fredykalisa :
Fundi na gari za kusomba vifaa hawakulipwa
2026-08-30 13:25:56
13
user78624792269186
Shakiru Dauda :
Kama hujawai kujenga utakubaliana na hiyo bajet, lakn kama ushaptia ujenz kama mm hunikamat hapo
2026-08-29 15:55:55
11
zairo369
zairo369 :
hii nyumba cement pekeake ni 100 bags
2026-08-28 15:57:41
5
user8444351101163
hemed libina :
huo ni uongo hyo nyumba n ya tofali 2500 na siment kuanzia 50
2026-08-28 20:52:19
9
vernance
Vernance :
apata iyo ni baget ya msingi na bado haitoshi tusidanganyane jamani
2026-08-30 13:04:49
0
makelege1
makelege :
katikati ya kiduala imejengwa kimakosa hapo ikiezekwa hiyo nyama ya canopy inaingia kwenye paa ko wakati wakufunga PVC nyama hiyo itakuwa ndani ya paaa
2026-08-30 19:47:01
7
amiri.rajabu0
Amiri Rajabu :
watu wanajenga kwa AI sana😂
2026-08-29 07:25:16
1
jon.elias29
Jon Elias :
kiufupi hao ni wale mafundi ambao wanakupa hesabu zao ukiwapa hiyo kazi hawamalizi hiyo kazi wanakukimbia wanakuacha na site yako na nyumba haijakamilika.
2026-08-28 16:08:09
5
dazi7
dazina :
wenzetu mmejengaje mbona mimi mpaka boma zaidi 25 jamani au mimi nipo pembezoni
2026-08-30 09:19:27
0
giftyshantyjr147
GIFTY ✅ Official :
apo nyumba inaongea kiswahili bado aijaonge kingerezaaa
2026-08-29 16:07:46
2
felixdelacruz568
Fei_Mungumkubwa :
au sio fundi bure sio
2026-08-31 14:58:30
2
noreenlyimo01
noreenlyimo01 :
Najiandaa nitakutafuta boss
2026-09-10 08:28:13
1
juakali_kuwanya
juakali_kuwanya :
SIYO KWELI, SIYO KWELI, kila kitu ulichotaja, naanzia na tofali, hizo 1700 ni chache sana, hapo angalau 3000. Usipotoshe taking Sio Sahii
2026-08-29 08:53:05
2
harunaramadhan71
hayran salum :
ikiwa ujenzi ni hivo bas nitieni dole😳
2026-10-05 13:43:42
0
james.mtui8
James Mtui :
nondo ni uwongo kwa haraka labda 45 mchanga trip 4 na sio 1 kokoto trip 2 sio 1
2026-08-28 17:29:02
3
ayazy.familly
ayazy familly😘 :
Mimi huu mjengo umegalim million2 na laki3
2026-09-02 21:29:29
4
To see more videos from user @eng.ahmidy_nayova, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About