@bbcnewsswahili: AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi. Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia? @sammyawami anaelezea kwa undani zaidi #bbcswahili #AIclaude #teknolojia

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 29 August 2026 15:00:00 GMT
132455
6207
476
1896

Music

Download

Comments

elliberack1
Afya kem :
tutatumia, then tuna bypass, then tunareedit kuvuruga patterns
2026-08-29 16:39:28
1
simon.daniel339
Simon Daniel :
mbona hakna shida. Sreenshot, save as pdf, bring it back to word. Easy!
2026-08-29 15:49:40
187
green.codes
Green Codes🍾 :
Uzuri niligraduate🤣🤣🤣
2026-08-29 17:53:10
3
mkushi9210
Mkushi :
Claude is my life😂
2026-08-29 17:57:41
0
ishaka_ame
Is-haka :
uzuri sikuizi hatuna copy paste tuna Paste then type
2026-08-29 21:38:36
1
wilson_magesa
Creative Developer :
😅😅😅 hakuna shida me naanza kutegemea tool ya kuondoa hiyo water mark then nauza Kwa subscription 😅 this is new opportunity kwangu 😅
2026-08-29 16:25:33
10
patrick_dazimba
Patrick Dazimba :
Bado hawajatukomoa
2026-08-29 16:27:55
52
binti_abdul17
Binti Abdul🎀 :
Khaa nashindwa kuandika pembeni nikaja nika-type upya😂😂
2026-08-29 16:28:43
51
evahsamwel1
evahsmwel :
Bora ata nishamaliza chuo🙌
2026-08-29 16:49:50
25
hk_senior613
Hk Senior :
ntakop kwenye daftri kwa kutumia Kalam halafu ntatayp mwenyewe roboti haliwezi nizid akili Mimi
2026-08-29 19:14:21
26
batalingayason
@nicotz :
MAMBO NI MATATU TU 1.AI NILIITUMIA 2.NINAITUMIA 3.NA SITAACHA KUITUMIA kwanza mmi ai ni rafiki yangu sanaa kama hamjui
2026-08-29 17:11:49
10
mrnyigo100
Mr Nyigo :
hakuna kisicho n altenative wasijisumbue
2026-08-29 18:52:30
17
allenmsyete
Allen Msyete :
wasubiri tumalize degree😅😅
2026-08-29 16:52:29
8
ruthmkopi
bubark :
copy-open new doc-paste-view side by side or print type finish Done
2026-08-29 17:32:50
3
ney21035
I'm really ney😍 :
Bora mm nishamalizaa zangu degree yangu😁😁😁
2026-08-29 20:12:57
6
kapingadesigns
Your business's marketing guy :
una process na AI kisha una copy kwenye notepad kisha una kopi tena
2026-08-29 18:37:50
7
forklift930
叉车t🇹🇿 🇨🇳 :
Nitatumia AI naangalizia na copy 😂
2026-08-29 15:41:52
41
ashmee301
🦋Ashmeey..🦋🦋 :
Uzur mpk ije kukamilik nimemaliz chuo chart jpt atakua ajafikiw
2026-08-29 18:37:06
6
h_bizz0
Bizzo_ :
Ngoja tuje na AI zetu tumechoka manyanyaso 😂
2026-08-29 15:44:27
9
myunani255_
Myunani :
🤣🤣unaichukua Kutoka Claude unapeleka Gemin
2026-08-29 19:20:27
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About