sasa kama ameniachaa yeye nifanyeje asma ameondoka kuskiliza maneno ya mama zake wadogo sa nifanye ongea sna lakn akukubal mwisho kazalishwa yup singelmonths na ni mtu alinivumilia sna sna niko 0 ad %50 kimaisha lakn bac tu
2026-09-17 13:11:35
10
Doctor bakariano :
wangu alikuwa na mahusiano nje haliyakuwa nilikuwa nae miaka 7 kumbe anawengine nje nilipo Meacham tu nimefanikiwa sana wallah nilitaman sana nimtafute ili ale matunda ila hapana🥺🥺🥺
2026-09-17 14:45:18
7
fahamisha :
Ila kitobo🤗🤗🤗
2026-08-28 16:47:48
5
Erick - placid 26 :
nakubali galanos fam ✊💯
2026-09-16 11:25:57
8
Herbal Care Vision Centre :
washikaji wanacheka ila mm nimeumia hii story wazeee 😅😅
2026-09-30 22:29:06
2
Alfonce Anton :
Bora Mimi aliniacha mwenyewe
2026-09-17 07:12:09
8
C.E.O 🫂 :
bora akuache yeye😂
2026-09-17 18:31:45
7
Baracka Shantel :
ila Leonardo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥
2026-10-04 18:08:17
1
@chance_roshan❣️ :
ila juma kitobo
2026-09-30 05:45:33
1
Staa by 💯💞 :
kweli
2026-09-21 05:03:20
1
vailetymalaika :
mungu hua ana sikia maombi ata nijibia maumivu ya moyo wanguuu🤲🙏