Me naota nipo kwenye maji mengii’muda mwingine naota nang’atwa na nyoka mpk leo ile taswira ya Yule nyoka namna alivyoning’ata jicho la mguu sisahauu,,, nishawahi Ota natoka ndani naenda kwenye makaburi ya home pale naongea na wafu afu sio Mara moja walaa naomba nitafsirie
2026-09-08 14:18:25
0
fey toto :
mimi naita nimezaa mapacha zaid y mara tano maanaaak plz n pia siez maliz week pills kuot nimezaaa
2026-08-29 10:30:53
0
Maylarama :
Ndoto ya kurud shule ya msing inanisumbua sana 2018 -2026 Bado tu jaman 😭😭😭😭
2026-09-09 20:23:56
0
Reeny 💕🦋 :
me naota meno ynatoka yanaum kbsa nisaidie
2026-08-29 11:44:35
1
To see more videos from user @mercelinahke, please go to the Tikwm
homepage.