kiufupi Tanzania Inaongoza Duniani Kwa Kuwa na Viongozi wenye kunyosha Maelezo
Lakin piah Tanzania Inaongoza Kwa Kuwa na Viongozi waongo na waliojaa Laana
Haki Iko wapi mnayotenda Enyi Viongozi
ninyi mnachosomea mashuleni nikuwashawishi Watu kuwadanganya
Lakin hamuwatendei Haki Wana Nchi
Nb: Mungu Akusaidie uweze kutimiza Majukumu yako ya kumsaidia Raisi
2026-08-29 07:35:08
6
@am maggie 🤞 :
utamsaidia na kuleta mchakato wa katiba mpya
2026-08-29 09:44:36
4
Alfred :
huyu ndio kiongozi Sasa
mungu ambariki sana
2026-08-29 09:19:47
2
Phiona John :
Kijana anajua kujieleza🙏
2026-08-29 10:15:57
3
Shija J. Ndutu :
Kwan Bashe alimfanya nin Makamu wetu?🤔
2026-08-29 09:41:52
1
Imran Ally :
Siongei kitu tumuachie Mungu
2026-08-29 11:33:53
1
candrah :
unatufaa
2026-08-29 06:59:04
2
chaby :
big.up bro keep up your sock maisha naendelea 🥰🥰
2026-08-28 22:38:33
2
Merina Masanja :
Mbingu imethibitisha Dunia yakupokea Fanya kazi ukimwogopa Mungu
2026-08-29 10:49:01
1
young msomali :
Kwa maneno yako tu mheshimiwa makamu wa raisi wewe ni kiongozi bora na sio bora kiongozi KAICHAPE KAZI mungu akuongoze
2026-08-29 08:16:17
1
martha💓💞 :
MHESHIMIWA 🤚 Nina dukuduku langu tunaomb utusaidie hii barabara ya tutokea ntuka kwenda mvumi tunaomb tusaidie lami ,,tunatoka mjini lkn mpaka kufika mvumi hatutamanik ,,,nishushe🙌🙏
2026-08-29 11:46:33
1
George :
Anaongea Vizuri,Ni Mpangiliaji Mbobezi Wa Maongezi(Ukimsikiliza,Maskio Yanabaki Na Kiu Ya Kuendelea Kumsikiliza Zaidi👍)
2026-08-28 21:55:31
4
bellan_07 :
noce
2026-08-29 04:18:14
1
debora nashon :
leta mabadiriko usiwe bora kiongozi ukawe kiongozi bora uitendee nchi yako mema ikiwemo bila ubaguzi wowote
2026-08-29 15:22:19
0
ahsa :
kiongoz alietulia kbs
2026-08-29 13:59:39
0
immani Mohammed :
mh naibu rais ukasimamie kata ya goba makabe bahazi ya maeneo hakuna maji. hakuna kituo cha police pia hatuna hospital tunaomba utusaidie hili wana nchi wanateseka sana miundombinu mibovu ya balabala
2026-08-29 14:33:15
0
user9023106146914 :
MUNGU wa kwanza
2026-08-29 15:13:36
0
pritty girl💜💜💜❤️💖 :
Narudi CCM huyu nimwelewa ajira kwa vijana namwona ni kichwa huyu Mungu akuongoze Kama Sulemani
2026-08-29 14:22:23
0
Elikana isack :
Tanzania nchi huru sana kauli mbiu yetu vijana tunaweza tupeni nafasi tunaweza
2026-08-29 14:20:57
0
Bimdogo Ali Abdallah :
Umeweza baba tunakupongeza umeweza na utaweza zaidi
2026-08-29 05:56:09
0
To see more videos from user @uwazi.online.tv, please go to the Tikwm
homepage.