@mamatanzania1: Umbea wapige wao sisi wengineee aaah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ#mamatanzania #funnyvideo #fyp #comedia #viral

mamatanzania1
mamatanzania1
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 16:00:58 GMT
295197
25134
601
1093

Music

Download

Comments

joharijuma80
๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆtee mkary ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ฆ :
uliyekuwa bize kusom comment za watu nakupendaaaa
2026-08-28 18:58:54
313
officiallmarota7
clara@โค๏ธ๐Ÿ’Œ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unajikuta kazi zote unamaliza
2026-08-28 16:32:11
420
moodyicon1
MOODยฅ ICON๐Ÿซง๐Ÿงธ :
me: mama mboga za majani hizi hapa๐Ÿฅบ mama: shona wigi uvae ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-28 20:23:57
284
mimi.love2152
mimi๐Ÿฆ‹love :
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nimecheka mpaka nimefaliki๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-08-28 17:53:20
85
zackia534
zaquty beib๐Ÿ’ž๐ŸŒนโฃ๏ธ :
mam yang hyo kbca tuliocheka kwq saut tujuane๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-08-29 11:06:33
30
aunt.g2
Aunt G :
Mama njoo tule, kuleni nitakuja kutoa vyombo, chezea umbea wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
2026-08-28 16:38:55
85
ms.swaum2
๐ŸŽ€ Ms swaumโฃ๏ธ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mama angu mtupu๐Ÿ˜‚
2026-08-28 16:08:23
35
miss.didah74
miss didah ๐Ÿคฉ :
20/20
2026-08-30 09:16:07
0
nick.yombayomba
Nick yombayomba :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hebu kwanza mi ncheke
2026-09-12 10:51:18
0
martharichard7
MarthaRichard :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mama angu atasema ivi unajua wewe ni mama apo ulipo Tena ni mke wa mtu kabisa mweeh tutashindwa sasa ๐Ÿคฃ
2026-08-28 16:17:36
48
aisherfaraj
Aisherfaraj :
huyo ni dada angu kabisa akiwa anapiga umbea ndo kazi yake
2026-08-28 17:46:02
16
realzayra
๐Ÿฆ‹Zayra sTaR๐ŸŒŸ :
10/20
2026-08-29 23:41:12
0
gaude2255
GAUDE225 :
ni ya kweli kabisa
2026-08-29 08:45:55
13
_maggie_232
Magreth Mlata :
Huyu ni mama angu kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-28 19:08:17
17
chami_maelekezo
Chami_Maelekezo :
alaf badae akija mgeni atasema nimewapikia leo๐Ÿคฃ
2026-09-08 17:30:22
5
user76914577660748
neema Allen msigwa :
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ mbavu zangu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
2026-08-31 05:54:42
1
user9239828688423
yunis jum :
mama angu ivoivo adi kunasku nilisonga ugali nikiw na miaka 7 ndo ilikuwa mala ya kwanz kila nkimuita mam ananifokea
2026-08-29 14:46:12
7
mimo26249
Queen ๐Ÿ’• prences๐Ÿ’• :
50/50
2026-08-31 10:44:08
2
salmashaban659
saoju :
yaan huy mama angu kabisaa
2026-08-29 19:13:13
3
leoniacharles611
Leonia Charles :
unga mboga nakuja kuweka chumvi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-31 10:31:52
2
user7185012438369
glory james :
il umbea jaman ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-08-30 07:56:40
1
user5298731071944
costansia :
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ s umesema utakuja kuunga mbga
2026-09-09 10:24:02
1
ummyjengo
Ummy j๐ŸŒน :
ila umbea utatuua wamama๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-09-09 07:17:20
1
fatumadogokiteo
warda ๐Ÿฅฑshabn :
mama yang huyo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Snicker]
2026-09-11 10:34:14
1
To see more videos from user @mamatanzania1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About