@boegreen_: MUNGU WAPE MAISHA MAREFU WAZAZI WETU WASHUHUDIE MAFANIKIO YETU🙏 NA KWA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI, MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI. Hii video inanipaga machozi ya furaha kila ninapoitazama, upendo wa wazazi wetu ni wa juu mno. Asante mamaangu, NAKUPENDA SANA🫂🫂🫂 #Lifestyle #OnlyGOD++ #fyp
mpaka mama alikua akinifukuza nisiende dukani kwake 😂😂😂😂 nakulaa zaidi ya watejaaaaaa
2026-08-28 17:02:15
77
madame feytully 🦋💜 :
ndan kukali Sana kweli ubaya wa nyumba co chanzo cha kutokuwa na vtu
2026-09-01 08:42:56
5
Ray :
jamn maisha maref kwak mam🥰🥰
2026-08-30 05:04:00
5
Reghan :
ndo maana nampenda mama angu anakwambia kula baba ako atalipa bia tu ndo hatak niguse😂😂🤣
2026-08-29 00:43:52
6
Mamu okello🥰🥰 :
😃mungu atulindie wazazi wetu 🙏🙏🙏
2026-08-28 17:17:33
7
cosimasedward985 :
ilo duka au genge
2026-08-28 18:05:55
12
Veekhan Beauty :
ho ng era wengine hatuna😳😳😳😳😳😳
2026-08-28 16:41:53
18
khatib :
kusem.ukwel.me na mshua😳😳 mshua na Mimi Yani huniambii kitu kuhusu mshua wanguh ila God bless wamama.wote ila dah mshua wanguh na Mimi mungu ampe maisha marefu
2026-08-29 17:09:25
13
Official&CHWRY@BOY23% :
Nani kama Camera man
2026-08-29 00:32:54
16
To see more videos from user @boegreen_, please go to the Tikwm
homepage.