@mafrika243: TWELIMIKE TUSIWE WASOMI tumsikilize mwalimu google tv #tanzania🇹🇿 #viralvideotiktok #rdcongo🇨🇩 #kenyantiktok🇰🇪 #viral CHAPICHO la 032

BUNGE LA VIJANA AFRIKA
BUNGE LA VIJANA AFRIKA
Open In TikTok:
Region: CD
Friday 28 August 2026 16:13:09 GMT
8416
347
13
21

Music

Download

Comments

swahib876
young swaah :
hebu tusaidiane jaman mana watanzania wanaon mpir nibora kuliko siasa
2026-08-29 07:21:46
2
kizakapalatamafrika
kiza kapalata MAFRIKA :
TWELIMIKE TUSIWE WASOMI
2026-08-28 16:15:58
2
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Watanzania Pambaneni mpate KATIBA mpya
2026-08-29 09:54:46
1
vitusmbalilwa375
Kakaa :
mhh..🙏🙏
2026-08-29 11:27:02
0
bennymushi5
Benny mushi :
mzee pata soda baridi ntalipa
2026-08-29 00:01:31
1
keneth.thomson
Keneth Thomson :
nakuelewa sana mzarendo wangu
2026-08-29 11:24:08
0
eliafaida
Elia Faida :
siasa ni uongo usituaminishe bhana hata darasan tulifundishwa. uongo ni uongo na ukweli ni ukweli bhana
2026-08-29 12:23:14
0
user2999810917103
user2999810917103 :
tuelimike tusiwe wasomi
2026-08-28 20:15:03
0
oneafrica30
Kijana wa vitendo/Tanzania ♥️ :
Vijana hebu tufatilieni sisi maana ndiyo inayoendesha maisha yetu,kuwa na Machafuko ya kisiasa nakumbuka hatukwenda kanisani hiyo wiki wale waliokuwa dar wanakumbuka vizuri kariakoo ambako magari ni mengi kipindi hicho ulikuwa unauwezo wa kulala barabarani usione gari ndani ya dakika 10,Genz wenzangu tusitumie hisia, mihemko katika mambo ya kisiasa maana unaweza kujikuta upo sehemu ambayo hujui ulifikaje na huelewi inatokaje, hekima maarifa na busara vinahijika sana 🙏
2026-08-28 19:49:35
0
sakaya.lobebeki0
Sakaya Lobebeki :
❤️❤️❤️
2026-08-29 13:51:54
0
kambarekimambo
NIGAZI💫 :
👍
2026-08-29 14:47:27
0
To see more videos from user @mafrika243, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About