Zaka ni sehemu ya kumi msijifanye hamjui kutoa zaka ni agizo la MUNGU toa ili ubarikiwe ✝️💪💪💪💪
2026-08-28 19:42:31
59
mzalendo :
bwana ni kiswahili je kizungu mtamuitaje
2026-08-30 05:24:20
9
Kelvin katto :
Umeniaribia biashara yangu Asa nitakula wapi?.... 🤔🤔🤔🤔
2026-08-29 06:40:13
31
Miss Janeth :
kwwnza hilo andiko liliandikwa kwajili ya makuhan sio waumin .......[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ila wachungaji wanawqkandamiza watu wakat andiko liliwahusu wao
2026-08-31 14:44:31
9
EZRAH SAKU NORBERT :
Amen umefanya jambo zuri kukumbusha fahamu zetu
2026-08-28 17:59:04
26
The great Don$ :
ameeniiiiii
2026-08-28 17:13:52
10
Ambassador Official :
Am watching from Malawi guys please let's be friends
2026-08-28 16:31:25
6
Gbrota kamanda :
apa dar kawe kunawatu wanatedeka Awana nauli za kurudi kwao pesa zote wametoa Kwa mwamposa watu wanapotea Kwa kukosa maarifa
2026-08-30 05:31:29
5
P.J :
NDIO UKWELI
2026-08-28 17:11:01
13
sam kyando :
Hayo maagizo yalikuwa kwa taifa la Israeli lililopewa Sheria ya kutoa dhabihu mbalimbali, sio leo, sasa viongozi kidini wanatumia andiko hilo kuwaibia watu
2026-08-30 17:50:11
5
Mkamba Daniel :
umefanya vzr kuwafungua akili
2026-08-29 11:27:50
7
Madame Naomi Mbilinyi :
uko sahihi mwenyekiti ubarikiwe
2026-08-29 18:19:38
7
user4344627906531 :
bwana apewe sifa👏👏👏👏
2026-08-28 17:53:22
8
maria 🇹🇿🤲🙏 :
kwl kabc 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amen
2026-08-29 09:43:35
2
MHINJIRIST..MLAWA :
siyo watoe ili wabalikiwe watoe kwakua wamebalikowa uyu amesema ukweli
2026-09-28 03:11:43
1
Mwakikungwi 82 :
Hakuna mtu aliyetapeliwa watu wanajitapeli wenyewe
2026-09-22 17:19:13
2
Flora Kilian :
Nimeelewa mwenyekiti
2026-08-29 11:11:30
2
hajiry3 :
kweli kabisa 😂😂😂
2026-08-29 07:39:44
1
Mamyfaith :
Mwenyekiti umeongea kweli
2026-08-29 06:06:44
10
Mwakikungwi 82 :
hata kumi sipeleki
2026-09-22 17:19:39
1
Samweli Zakaria :
unaenda pazuri
2026-08-28 18:31:45
4
young rich :
facts sanaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 07:14:03
4
Leodgar Massawe :
Huo sio utapeli ni ukweli kwani sadaka hutolewa kwa hiari.
2026-08-29 06:39:44
4
Dj Dmx The Ekemonjino :
Amina you are very true man of God, ila nakuo,mbea uendelee na kupewa maarifa kwa mungu
2026-08-29 07:57:38
4
smart boy 06 :
nakuelewa sn mwl.
2026-10-28 18:12:17
2
To see more videos from user @mwenyekiticomedian, please go to the Tikwm
homepage.