Hatimae mtu kasema ukweli,na hiyo mentality ya ubinafsi ndo inasapotiwa sana kwa sasa kiasi kwamba watu wanafocus kupata hela tu mpaka hakuna tena furaha ya maisha
2026-08-29 09:23:42
11
Betuely T Msuya :
Hii gold mwanaume gan kashaiokota naomba tu kujua...big up sister 🤝
2026-08-29 05:51:01
3
Baba Lao 3 :
Mungu akubariki sana sana ... kwa namna ambavyo umeliona hili jambo in a very positive way... thank you so much
2026-08-29 08:19:02
4
Jayrasta :
2026-08-28 22:56:44
1
mr :
upo sahihi mimi mama yangu tu nimemuona mpaka sasa ajui hata mzee anakula nini ana lala wapi😭
2026-08-29 09:12:41
2
Ra_ra :
Nikwelii kabisaa📌
2026-08-29 07:10:20
2
ᴍᴀᴋᴀᴠᴇʟɪ ᴍᴀʟᴜᴍᴇ 🧿 :
Mie kwenye kufa mapema nishatoka huko
2026-08-29 11:17:54
0
S.Mordekai :
yafaaa ujilinde sana umeongea ukweli sana..Leo watu wengi kweli haipo ndani yao
2026-08-29 05:42:31
3
Jah Sure Chinko26 :
kwani wewe dada umeolewa
2026-08-29 07:41:53
1
👑Zahra Zahra💞🌹 :
sote n wabinafsi bhn sem kil mtu anavutia kwake
2026-08-28 18:05:32
2
pretty_nasma :
Facts
2026-08-28 17:06:56
1
Jimmy :
Bien dit ma soeur ! je suis tout à fait d'accord avec vous madame. Asante sana dada
2026-08-29 00:10:41
1
Lyn💕 :
Wiiiii🤭🤭
2026-08-28 17:01:25
1
To see more videos from user @winnieelius, please go to the Tikwm
homepage.