Biblia inajaa na ma contradiction menyi. tuiache sisi wa Africa
2026-08-29 13:54:31
2
pasteur emmanuel :
Mathayo 27
34 wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
2026-08-29 09:38:49
1
Yohana Sevelini287 :
2026-08-28 19:54:51
4
It's me Big M :
Maandiko mengine hayatumiki sana kwa sababu yaliandikwa kulingana na wakati na mahali, tukiangalia the meaning context ya timothy 5 23 maji hayakua salama kwa matumbo ya watu wa timotheo mpaka yatibiwe so pombe ilitumika kama water treatment ama medicine
👉 The Purpose: In the ancient world, water was often unsafe to drink. Wine was used as medicine to purify bad water and help with digestion. [1, 2, 3, 4, 5]
2026-08-30 04:59:55
0
Kitenge Igula :
pia mhubiri9:7. YEREMIA 27:25
2026-08-28 20:34:00
1
abubakarysoud :
kula na kunywa inaamnisha kileo ???
2026-08-29 13:40:36
1
issa manota :
tuonyeshe andiko linalomsema Yesu amelewa
2026-08-30 18:18:59
0
rejinal :
hiyoni 5/5
2026-08-29 23:35:17
0
Yohana Sevelini287 :
soma hiyo
2026-08-28 19:55:05
1
pasteur emmanuel :
naukuwe makini sana unapo soma biblia
2026-08-29 14:22:48
1
JOMBAH SIFUNA :
vitabu za walevi😂🤭
2026-08-29 05:19:13
2
user1184331537298katumongotho :
ukishaa kunywa pombe,utasuiya kulewa na nini.???.
2026-08-28 17:38:07
0
JEREMIAH :
hizo pombe sio zenye ziko saisi
2026-09-02 08:07:00
0
Samuel Michuki :
kulwewa lazima hahah 😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-08-28 17:10:01
0
pasteur emmanuel :
Ona ndungu usidanganye watu kupitiya mandiko nisha tuma mandiko someni nyini wote yesu kristo alikunywa divai isiyo changanika kitu tazama walipo mpa iliyochanganika alikataa soma apoMathayo 27
34 wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.soma tena👉1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
2026-08-29 09:47:40
0
Sir Hepson :
Pombe si mbaya ni pastors hujifanya kuwa na holy spirit sana.
2026-08-29 14:41:44
2
mtumish-Wafula :
a day will vome, you will be converted like Paul who waas worst when he was Saul
2026-09-01 18:31:21
0
pasteur emmanuel :
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
2026-08-29 09:38:34
0
james mwirigi :
na sio mungeii 😂
2026-08-29 09:10:00
0
MASIKA@001 :
wewe unapoteza wanaokufata
2026-09-01 10:23:51
0
Jeffrey :
kuna tofauti ya pombe na divai
2026-08-29 15:27:51
0
Prince Toney the 5th :
😂
2026-08-28 18:33:53
1
Liwa eza liboso :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 04:22:48
0
To see more videos from user @usermusmart, please go to the Tikwm
homepage.