Anza kuuza chakula nd utajua aahh kumbe watu hawali😅😅
2026-08-29 09:19:52
1
akilimali :
huduma za kifedha
2026-08-29 07:35:29
2
John Orinda :
mafuta/vipodozi
2026-08-28 19:22:04
0
Mehmet Diaries📖✨ :
kampuni za kubeti kaka n hatar
2026-08-28 18:33:09
1
%Mweusi%LTD% :
Sawa.swari je? maji vp.maana hivyo vyote ulivyo vitaja vinahitaji maji
2026-08-28 17:47:11
1
zaiza :
Elimu
2026-08-28 17:23:22
2
Afribaba :
2026-08-28 17:18:54
1
Daniel Jankey :
Technology
2026-08-28 18:11:51
0
Lilwa_iphone_repair1 :
biashara zoteeeh sio kitu bila mawasiliano (simu)
2026-08-29 00:02:44
1
Gérard eloïck :
chakula njo ya kwanza
2026-08-28 18:07:03
0
the hunter :
oya dallarz kuna madini hapo kaka😁
2026-08-28 22:31:36
1
baba anna :
Kati ya siku umeongea point ni leo
2026-08-28 17:34:30
2
patient akida :
bro mimi ni sabiki wako number moja na kuku bali sana na kazi yako ama content yako na hii kubali sana wewe ni noma na kupenda kutokea Congo DRC 🇨🇩
2026-08-28 19:04:53
2
user6835242800410 :
CHAKULA NAFASI YA KWANZA
BIASHARA NYINGINE NI
MABADILIKO YA TECHNOLOGY,MAKAZI
2026-08-29 04:30:49
1
Vasco Vj :
kk nom
2026-08-28 17:18:57
1
yasco guide zanzibar :
Kaka ongeza apo apo kweny afya lakini afya ya vyombo vya usafiri kama magari piki piki na bajaji nikimaanisha garage ita act kama hospital na maduka ya spare yata act kama pharmacy kwa sbabu kila siku watu wananunua na kila siku vyombo vinaitajika so biashara ya spare nayo itadumu milele.✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
2026-08-29 09:43:31
0
jack-mika :
kaka me naona food is first
2026-08-29 09:33:17
0
Shinuna Ayub :
mavazi
2026-08-29 10:09:33
0
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.