@devotajs: Chosen one/ Mteule kwenye safari yako ya maisha kuna mambo haya utakutana nayo #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 17:24:15 GMT
4162
361
45
10

Music

Download

Comments

kylan.nillanzari
❣️❤️KYLAN🫶 NILLANZARI ❤️🔥 :
hi mamaa..I have a prophecy to some women..but I fear saying it
2026-08-29 03:47:21
1
user61798101958007
Kitty's josy :
niliingia kwa plot moja nikitafuta rental house wee acha landlord and landlady wagombane
2026-08-28 17:33:02
0
d.c.i.loladze
D.C.I loladze :
hii happened when I was school
2026-08-28 18:17:19
1
givenmlelwa4
givenmlelwa79 :
yes yes
2026-08-28 18:56:56
1
user4839787145259
angel franc34 :
wale wa jina lako likitajwa watu wanavurugwa mko wap 😅
2026-08-29 04:15:52
1
inspiringpositivechange
𝘔𝘖𝘔𝘠 𝘎𝘌𝘕𝘌𝘚𝘐𝘚 🇰🇪 :
nilishawahi enda sehemu kununua mihogo ya mia 200 miwili na chai 200 Chai jamani ile nimekula nimemaliza watu walikuja kama kumbi kumbi nikawa nawapisha wakae nilikua namsubilia mtu hapo yule mama kasema apana we kaa tu watakaa kule upande wapili nikasema me nishakula sasa wakae tu akaogoma nikatumia nguvu kutoka pale jamani mmmmmmh nikashangaa sana niendelee kukaa ili iwaje siku muelewa kabisa kupitia dada etu kipenzi nimeelewaa sasa
2026-08-29 08:10:32
1
lizzie.muhanza.sty
Lizzie muhanza stylish👗👘🥻🩱 :
nilijua mikosi🤣
2026-08-28 17:31:34
1
didaah40
didaah40 :
kuna siku mama wa mbonga asubahi anauza muhongo nikamuita nikanunuwa basi yule mama alikuja tena siku ya pili yuwaniambia ninunuwe tena maana jana aliuza akamaliza mapema biashara
2026-08-28 18:59:16
2
millionaire..gal
millionaire💃 :
ni ukweli mtupu ,mi pekee yangu nimezimiwa stima kwa the whole plot Hadi nashangaa hakuna mainge plot mzima😌😌😌
2026-08-28 19:32:32
1
joseph.mgeni
Mgeni J Mgeni :
Hiyo ya Dukani na Kuinuka Mtu kwenye siti ninayo sana au wale wanga nini
2026-08-29 02:25:28
1
youngvillage3
jaymo :
yani uyo ni mimi sjuw nifanyenini
2026-08-28 18:54:40
1
atieno22
liz astagy # 🇰🇪🇰🇪 :
ni ukweli kabisa
2026-08-28 20:24:18
1
user5576193791834
MPENDWA WA BWANA :
kabisaaaaa
2026-08-28 17:33:04
1
user1943967808286
Emily :
naona Sana hiyo
2026-08-28 18:14:36
1
jameson.mpesa
Jameson Mpesa :
Ukweli mm niliandimwa kwa kampuni nilikua waiter nikiingia kazi customer wanajaa sana
2026-08-28 20:31:47
1
mariam.harun35
Da mamu :
Ilishawai kutokea mpenzi wangu akaniambia tangu niwe na ww napata pesa
2026-08-28 18:17:33
1
paulina.likiliwik8
Paulina Likiliwike :
kweli kajisa
2026-08-28 17:45:25
1
g197826
june :
Yani dada kuna muda mwingine unakuta watu wananigombania why
2026-08-29 12:01:06
1
user7797702411134
user7797702411134 :
Mimi nilikuwa najishangaa kila nilienda kwenye maduka au saloon hata kama hakukuwa na mteja lazima wateja wake wengine
2026-08-29 11:37:27
1
emanuel.matandula
PERMACULTURE PRINCIPLES :
jamani mkukutana Devotta hajaolewa niambieni napanda Sana Jina Devotta awe mke wangu
2026-08-29 10:17:42
1
user1356658514814
user1356658514814 :
it happens to me several times
2026-08-28 18:21:36
1
akidaamina
Akida Amina :
Iyo Nisa a kwangu mpaka najiuliza
2026-08-28 18:16:18
1
saimonmbwelwa
Saimon Mbwelwa :
upo sahihi sana dada
2026-08-28 18:16:12
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About