@power_media08: NGOMA NAGWA "MKABE TARATIBU NIPO MBELE NAKUSIKILIZIA" Ngoma Nagwa 'Nagwa OG' ni msanii ambae akiwa katika kazi unaweza ukafikiri ni kijana mkatili, bandidu na mtu wa kazi chafu lakini kiuhalisia ni mtu mzuri na mtu poa sana. Ukipata nafasi ya kupiga nae soga ndio utalibaini hili nililoliandika hapo juu. Na binafsi mimi ni shabiki wa kazi yake ya sanaa.