Dem yangu mkamba sijui alienda wapi, 1 month now 😭
2026-08-30 06:49:18
645
unkownatom {𝘬𝘪𝘭𝘶𝘮𝘢} :
nishai jipata mahali sikuwa😂🤣🤣sijai kimbia ivo
2026-08-29 14:18:55
518
beckie kartel :
sipendi vile mnatoa siri za nyumbani huku mtandaoni😂😂🤭
2026-08-30 06:51:02
454
Madonachronicles :
Hata mseme nini mkamba wangu lazima nimuoe😂😂
2026-09-02 03:41:55
45
Young Trader :
me niliokota charger inaweka moto mbaka 112%
2026-08-30 10:32:41
209
Faith Ndunge :
🤣🤣 more than heartbreak 💔 🤣🤣🤣
2026-08-29 06:08:13
71
Tatiana🌸 :
am kamba and I can't relate
2026-08-31 13:09:54
24
user52666201508788 :
Mimi nilishtukia nimejiharia mbele ya watu na sikuwa naumwa na tumbo😂😂
2026-08-30 14:54:46
42
irene kathurr :
sanasana wa kitui
2026-08-29 12:56:32
45
👀👀🙃🙂🙃 :
I saw a black cat 🐈⬛ with a golden chain ( imevalishwa)in mwea kwa printing shop Weuh Wacha tu the kind of prayer I made .. Mungu tu ndiye anajua
2026-08-30 11:01:33
10
eng manuu Koech CW. :
Hadi nimeogopa kina mwende bwana
2026-08-30 20:45:24
16
@alpha one :
nilikosana na Dem mwingine mkamba alipoenda kwao asubuhi nilijipata nimelala balcony weeeeh acheni kwanza nilie
2026-08-31 08:02:02
14
Daddy's 💞best💞 :
my brother na cuzo walikua wanapata ngumu packets mbili, thermos imejaa chai na vikombe mbili, cooked food na walikua wanakula na pia kuokota pesa kwa barabara
2026-08-30 18:50:19
18
spart kheed :
kuweni serious bhana hapa comment section😅😂eeh Mimi mwenye nilijikimbiza mpaka nikachoka yote ni Dem mkamba😅
2026-08-30 11:24:44
15
Travis M.🔯💫 :
:My mom didn't understand why I'm always on my phone... So I downloaded TikTok for her last night and since morning we haven't eaten 😂
kitambo 2015 nikifanya Garissa alafu tukapitia kitui kidogo tukiwa club friend nilikuwa na yeye wakachokozana uko akainua mkono akachapa uyo jamaa na kwambia chenye niliona siwezi Rudi uko
2026-08-30 06:47:47
58
🥵❣️🦋 SHANTY 🦋 🥵 :
😂😂😂😂😂🤣🤣sanasana wa makueni
2026-08-29 18:53:00
8
Davey 🇰🇪 :
Sasa mbona unatoa Siri za nyumbani😂
2026-08-30 07:48:52
5
roni.tipsy :
ni mbayaa😂😂
2026-08-28 18:09:58
7
GENSHA🇰🇪🇺🇲™ :
99/99
2026-08-31 18:01:04
0
To see more videos from user @kaodikatrickyofficial, please go to the Tikwm
homepage.