@5chancee_1: JONES BOGONKO a person pretend to be a priest in lodwar..kenya!... #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #truecrimetiktok #nairobitiktokers🇰🇪
Sasa kwani anakosa gani hadi apelekwe mahakamani Sii aseme nimetumwa na mungu kwani dini na mahakama wapi na wapi si wamwachie mungu ndio watamalizana au nyinyi munasemaje
2026-08-28 19:24:53
25
Queen Kapinga :
kwani laki moja ya kenya tanzania inakuwa shngpi jmn mm nimtoleee iyo hela😂😂😂
2026-08-29 07:44:11
6
Tom classic :
i like the way you telling my people
2026-08-28 19:08:37
20
ytarah_Tz :
bado kwenye movie pia anaingiza padre😅
2026-08-29 06:49:10
9
Nick :
na tulioungama dhambi zetu kwake,ndo inakuaje sas?
2026-08-29 07:10:53
7
juma❤💯 :
sasa kosa iko wapi hapo
2026-08-30 20:00:07
3
🤍Jen cute🍀 :
wamuache tu atangaze injil jmn
2026-08-28 20:14:54
5
Annathory z :
kaka nakuona mbali saana
2026-08-28 19:19:02
10
𝔗𝓡𝓘𝓒𝓘𝔈𝓡26%⚽️💦 :
hakuna dhambi kubwa wala ndogo but....kuchezea Altar kama kituo cha biashara pia sio hivyo tuuu na Sakramenti🙆🙆 Takatifu loooh looooh looooh Mungu atusamehe🥺🥺🥺🙏
2026-08-29 01:06:39
8
Baby mama wako :
sharp boy from kisii 😂😂
2026-08-30 21:50:09
3
tonny fix :
ila tamaaa😂
2026-08-28 18:16:32
14
Bish :
😂😂😂😂na vile unaeleza vinzuri nika ulikuwa hapo
2026-09-12 04:17:44
1
Erick G.M :
Kenya my country,my nation
2026-09-01 19:36:41
1
suzan :
yesu wa Ekarist yupo nas dima ivo tusiogope na sisimamae imara kataka imani yetu
2026-09-16 02:52:21
1
it's linah🌵🌵 :
sas mtu asijiajili jmn😳
2026-08-29 14:00:35
5
TriceViver :
Yesu wa ekarist hadhihakiwi
2026-08-29 10:27:57
3
Bravo Farm :
Nakukubali snaaa kamanda
2026-08-28 18:15:33
5
Zeddykim :
Blasphemy
2026-09-02 18:19:31
1
Espoir Aganze :
courage frère ku tu fasiriya
2026-08-29 11:58:33
1
yule wa Chelsea :
wakenya sisi Kila kitu twafanya biashara mmoja tu ndyo Bado hatujafanya ni ya kufungua police station ya mtu binafsi
2026-09-01 18:36:59
0
sweetbertha 🇹🇿 :
ila wakenya wanajua kujiamlia mambo 🙌🙌
2026-08-29 06:32:14
4
Kelvin Mfinanga :
unatupa true story but the way unavointroduce hii story kwetu ndo siyo unatwice rate your pronunciation
2026-08-28 21:59:34
3
Doreen Willbard :
tamaa mbaya jamn😳😳
2026-08-28 19:16:10
2
Hellen Mkwawa :
asante kwa stori nzuri naina funza pia kaka
2026-08-30 16:18:59
1
To see more videos from user @5chancee_1, please go to the Tikwm
homepage.