kwnza mm nataka nikikaa na mwanaume nataka nione mabadiliko ya maendeleo vinginevyo siwez bora niwe mwenyewe haki
2026-08-29 14:53:38
39
LoneWolf :
i beg to differ..... napenda mwanamke mlezi and i will give her a world......
2026-08-29 05:14:36
10
Lee 🛜 Internet Solution :
kabisaa
umeongeza point kubwa sana
2026-08-29 04:56:33
34
𝓜𝓻𝓼🍎𝓙𝓕 :
ndomaana najificha natafta zangu kwaamani 😂
2026-08-29 12:32:54
28
Lizzie 🌹 :
bora awe hana mia lkn awe na akili yaan ukimwambia Nina 5M anaidea mpka unasema yeees, mwingne unamuelezea changamoto unazokutana nazo kwenye biashara linasema tu pole halina mawazo nyie🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-08-30 18:49:33
8
Xander👑 :
mtajua wenyewe bana😂
2026-09-06 12:19:44
0
阿塔利雅的父親 :
Yes for sure I used to stay in such relationship4 yrs back nikahisi ananinyanyasa kumbe ni utoto Ulikua unaniendesha
2026-08-30 04:38:05
3
saracha :
kunywa soda kipenzi nakupenda kuanzia leo hawaelewi
2026-08-29 14:07:03
9
Consuetudo Vitae :
exactly
2026-08-29 18:49:04
1
anne@90 :
ukweli mtupu
2026-08-30 13:25:49
2
Jescah❤️🌸 :
Apooooo
2026-08-30 05:13:42
1
popy da bliss💸 :
Yaan ni kweli 👌🙌
2026-08-30 06:00:07
3
Ukhty Dalilah 📖🌙✍️🇹🇿 🇴🇲 :
Huu ukweli tupu
2026-08-30 11:34:14
2
Madam Me🌸❤️ :
Umeongea vizuur🥰i
2026-09-22 06:17:46
2
🍬 :
kwel kbs🥰
2026-08-29 13:16:14
2
𝒦𝒜𝒞𝐻𝐸𝐿𝒪 👑♓ :
Huwaga siombagi awe na pesa maono awe nayo pia na uchungu wa maisha tufikie lengo