@ukhty.maryam_: Wakati mwingine ukweli unauma, lakini uongo unaumiza zaidi. ๐ Usimpe mtu matumaini ambayo moyoni unajua huwezi kuyatimiza. Kama kuna kitu kimebadilika, sema ukweli mapema kuliko kuendelea kumfanya mtu afurahi juu ya ahadi ambazo hazitakuja kutimia. ๐ Ni bora ukweli unaouma leo, kuliko uongo unaoharibu maisha ya mtu kesho. ๐ #UkhtyMaryam #ManenoYaHekima #Ukweli #Mapenzi #Mahusiano
nimepitia hii hali sitaman ata kukumbuka Allah tupe subra
2026-08-29 14:21:40
0
minaaah makopah :
inanikumbusha mbali
2026-08-29 13:32:45
0
Shazma๐ซ๐ฆ :
Nilikuwa na lia kira ifukapo. Leo uzuni kutokula. Kujitenga. Ndo ilikuwa. Vipo katika maisha yangu lakini Leo nimesimama katika. Mstali ambapo nime staili kuwa. Nimeamua. Kubali kuachilia. Too kwasasa nina hamani ya moyo
2026-08-29 14:08:54
0
A๐๐ :
usiombe yakukute mana maumivu yake usikie tu kwa mtu umenitonesha kovu niliobaki nayo๐๐
2026-08-29 06:14:40
8
Osman Sabu :
wanajikutaga sanaaaaaaa ni AI lkn omba isikukute๐๐๐๐๐
2026-08-29 09:25:32
3
Young Mom๐ธโ๏ธ๐ฆ๐ซ :
Kwani hukuwa hata na jiwe
2026-08-29 08:53:49
1
Shanakhya :
jin la Qaswid
2026-08-29 07:00:37
0
mwana :
Sasa hivi wasichana tustuke wanaume wengine wanakutumia kwa zinaa na kwenda kuoa kwengine