@bbcnewsswahili: “Nitamkamata mhalifu Odrek na kurudisha amani kwa wananchi wetu.” Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametishia kumkamata shemeji yake, Odrek Rwabwogo. Muhoozi ametangaza kuifuta kamati ya mauzo ya nje ya PACEID anayoongoza Rwabwogo, akidai ni ya kifisadi na kuahidi kumkamata hivi karibuni. Je hatua hii imefikaje hapa? @mrs.tadicha anaelezea #bbcswahili #foryou #fyp #uganda #JeneraliMuhoozi
bbcnewsswahili
Region: TZ
Friday 28 August 2026 18:20:59 GMT
Music
Download
Comments
DialUsafi :
It is boiling nicely, this transition will be deadly and messy.
2026-08-28 20:19:35
7
SOUL_EAGLE7 :
inchi inaongozwa na familia nzima 😅😅
2026-08-28 19:46:50
25
Alex | Ventures :
Hakuna mizozo, hio michezo ya mzee. This is just a show
2026-08-28 21:09:53
3
Africa Shaping :
BBC. quality
2026-08-28 20:38:13
0
ALL BLUE :
kwani unarecord na cctv
2026-08-28 19:16:05
10
tokhna :
Our very own Trump 😁😁😁
2026-08-28 19:22:22
2
Anudo.com :
They're pretending
2026-08-28 19:31:16
0
p zahra :
DIVISIONS
2026-08-28 21:42:07
0
BRX :
Alikuwepo Idd Amin, Hata hao wataondoka tu
2026-08-28 21:05:58
1
Macareno :
How do you employ relatives frankly without even hiding. It happens but secretly
2026-08-28 23:04:10
0
Kasiri255 :
Yan hawa nao wana drama kama ccm
2026-08-28 19:58:34
1
Lm :
nchi inaongazwa na Familia Africa shida tu
2026-08-28 21:35:32
0
Nyang'ombe :
hiyo ndo mbaya Sasa familia Moja kuingoza Inchi lazima wafarakane
2026-08-28 20:07:41
1
JAMAL MZEE :
sis tuko kando kiasi tunawangalia vizuri 🤣🤣🤣
2026-08-28 20:36:12
1
marxdollars💰 :
2026-08-28 21:39:09
0
teacher Ali :
siasa ni mchezo mchafu na waliojuu ndo wanaouchafua kwahiyo hio ni michezo tu
2026-08-28 20:40:42
2
ZAMI investment :
mambo ya uganda wachana nayo
2026-08-28 21:10:29
0
Guerschom Etungano :
Africa ni Aibu sanaa🥺🥺🥺🙌🙌
2026-08-28 20:07:39
0
Muhanuzi Faizo :
habari zajion
2026-08-28 20:13:07
0
Tymoh💪 :
so ugandans are are aware of this suarly being ruled by one family
2026-08-28 23:13:39
0
rafia :
Mungu apanguwe yote
2026-08-28 20:46:41
0
Nicholaus Gaston :
Wait what
2026-08-28 20:20:10
0
BEA SIMBA :
Kila chenye mwanzo akikosi mwisho mwanzo na mwisho wa udikteta duniani unafika mwisho
2026-08-28 20:35:59
0
hombe.⁶⁹ :
tanzanii
2026-08-28 21:10:27
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.