@destiny_dreamfate: Katika hali ya kukumbushana tu, Tafuteni hela jamani… na msijinyime raha ndogo ndogo za kupoza joto kwa kukodi AC kutoka @BARIDI BARIDI | Daikin ACs 🔥🔥🔥 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo
it's absolutely true Sis Wanda, let's work harder to get what we want coz money controls everything in this world 💪💯
I love you, you're a blessing to us, Mwenyezi Mungu akutunze vema 🥰❤️🫂
2026-08-29 08:08:11
1
mabuyeenterprisem :
it is true miss waaaaaaaa
2026-08-29 11:41:38
0
Bungala :
Uko sahihi coz usipokuwa na hela huthaminiki🔥🔥🔥
2026-08-28 19:22:04
2
OfficialMuu :
ila alie leta wazo la kutumia hela kwenye service Mungu anamuona😅🙌
2026-08-29 06:44:38
1
Joshua Marandi :
2026-08-28 20:03:12
0
G_Kanakamfumu :
Tutafute hela alizopoteza nani 😅😅
2026-08-28 22:41:38
1
samacolla :
Sawaaaa
2026-08-29 06:52:08
0
iamchumira :
word
2026-08-29 05:03:12
0
Jane :
namba tafadhali
2026-08-29 05:00:06
0
Brian Benard :
Naam 🙏🙏
2026-08-28 21:30:04
0
Mr.Bahadur Anwar Okera :
una point zito sana
2026-08-28 21:39:19
0
Mamyfaith :
Ni sahihi mdogo wangu.
2026-08-29 07:35:00
0
itsluna557 :
Kabisa yaan ww dada mm nakupenda tu maana una akili sana
2026-08-29 04:38:02
0
frank :
sasahiv hela tunaisaka kwa njia yoyote... vyombo vya usalama tuta deal navyo tukisha zipata🤣🤣🤣
2026-08-28 19:54:13
0
Centralzone Health Solutions :
Nimenunua hisa juzi z nmb kwa bei ya 1850 jana wakasema zimeexpire namtafuta broker wangu zan security hapatikani wala hajibu whatsap hapo nifanye nini
2026-08-29 06:31:19
0
Jane :
pesa salama maisha salama dada nakupenda kwani unatoa ushuri na kamwe humsahau Mungu🥰
2026-08-29 05:02:55
0
head current :
VP ukiwa unaumwa ugonjwa ambao pesa unayo na haifanyi kazi🤔
vp ukiwa na pesa alafu kila unaempenda yeye anapenda pesa yako na si wewe?🤔
2026-08-28 23:43:38
0
*Diesel :
nilishapita huko
2026-08-29 17:03:33
0
Mkwelele :
mimi kwangu pesa ndio kila kitu.
2026-08-29 08:42:39
0
Stitch Designx :
Peace Of Mind
2026-08-29 07:55:53
0
kenny_magari_tz :
uko sahihi madam
2026-08-29 16:25:34
0
Jane :
Naomba namba yako ya imu dada
2026-08-29 04:59:46
0
Materu Don :
nakubal sana
2026-08-29 06:08:51
0
To see more videos from user @destiny_dreamfate, please go to the Tikwm
homepage.