@iycsigntv: Mange katoa yamoyoni kuhusu serekali ya tanzania na viongozi wote Muusika: mange 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
Wazee wepihao uliosikia peke yako wakiungana na genz,wataje🥺
2026-08-28 22:38:53
0
Tom Kamau :
Umesema ukweli kabisa.
Itabidi muungane pamoja ili mubadilishe uongozi wa kiimla inayoanza kujitokeza.
Whoever makes peaceful change impossible makes violent change unavoidable..
Walio uogozini wasome na waangalie vile dunia inaenda.
Na ni jambo rahisi na inawezekana kukaa pamoja na kuzugumza pamoja...na kuepuka mabaya siku za usini.
2026-08-28 22:09:15
0
Sube Kichure :
hakiii
2026-08-28 21:28:50
0
ummychipanga :
tutapambana mpaka mwisho
2026-08-28 20:30:24
0
King Samy :
kuna situation leo nimeona anachokisema huyu kama naanza kukielewa police unampiga mtu makofi huku anakwambia anamaliria mmhh
2026-08-28 21:08:08
0
ummychipanga :
tanzania ni yetu sisi
2026-08-28 20:29:56
0
Ali mila :
acha kutuingiza kwenye ujingaaa sisi sio mbumbumbu
2026-08-28 21:58:16
0
Rehema Bakebura :
Kanye ulale
2026-08-28 21:00:47
0
cashkush :
Tulia sasa usilete taharuki kwa wazee.
2026-08-28 19:52:19
2
user1493319000613 :
amebaki wasila
2026-08-28 20:41:28
0
Mlelwa Thadey :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-28 21:36:19
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.