respect wa Lori kupunguza majanga alicho amua n kizuri🤝
2026-08-30 02:45:27
5
Eng_KYM :
Hapo wote wana makosa…haitakiwi kutegemea huruma ya mtu kwenye overtaking…lorry ilibid mapema tu arudi kwake. Una overtake kama mtu yuko slow asa wote speed inalingana apo
2026-08-29 09:28:32
9
baraka magali :
basi gani ilo
2026-08-28 19:34:27
1
ennom144 :
Ukiangalia kwa makini unaona mwenye basi hana kosa kwani mbele ya basi kulikua na lori lingine sasa mwenye lori angeweza kumaliza gari zote au anapewa lawama tu
2026-08-29 11:56:20
3
johnsonjohn931 :
duuh
2026-08-29 19:50:35
1
Malalejr :
Daah sio pw
2026-08-29 04:46:59
1
micheyamitiki :
Daah hizo roho mbaya🥹
2026-08-28 19:27:51
1
Dully~Navill back up🦅🦅 :
Sasa mtu unapata faida gan mwenzio akipata ajari aisee madereva tupendane daaah😔😔
2026-08-28 19:51:29
3
Mirey :
mwenye Lori ndo kiaz piga hesabu vizur ndo overtaking
2026-09-03 12:07:13
1
To see more videos from user @rammy.boy.tz, please go to the Tikwm
homepage.