@itsmediana073: 😭😭😭

it's me
it's me
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 19:44:49 GMT
77007
4712
305
47

Music

Download

Comments

gomarakirahaiiioo3
NAHJAY ❤️❤️❤️❤️❤️ :
SubhannaAllah 😭😭😭😭 Ya Allah protect them a d free palastine😭😭
2026-08-29 20:12:46
0
nurusndx0bg
natasha :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲yaraab free Palestine yaraab protect protect them 😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
2026-08-29 17:55:59
0
cozy.fairy._
A.d.a.h :
Yarrabby i will waitt😭😭😭😭 Jibu kwanza hawaa😭😭😭😭
2026-08-29 16:15:01
1
yustasimon6
mama P&E. :
Jaman watoto naumia mm jaman wadogo hawajui lolote et mungu simama na hawa wanao jaman 🙏🙏🙏🙏
2026-08-29 09:03:56
179
pilly234
Pili Said :
mungu awasaidie jamani vitasiyo mzuli jamanii 😳 acheni mnauwa watu walikuwa hawana hatiya acheni jamanii emungu wasaidie 🙏
2026-08-29 05:32:48
47
user7731873125124
lily :
najikuta nalia kwa sauti kwa ajil ya hawa watoto wadogo jaman hawajui kitu kukimbia shida daaaah m nalia sana naumia sana eeeeeeh mungu fanya jambo
2026-08-29 12:21:38
48
albaharmussa
Albahar Mussa :
ALLAH YAARABBI Walinde watoto hawa.
2026-08-29 13:50:36
19
tinaandrea308
Tina Andrea :
jamani ukiishi Kwa nchi yoyote ukiwa na amani mwambie mungu Asante na ujifunze kukaa na watu vema
2026-08-29 14:03:15
34
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
children 😫
2026-08-29 13:04:53
0
mamaluuu41
prodact :
😭😭😭poleni
2026-08-29 19:08:09
0
mllsa61
Ney🦋 glow perfum🥰 welcome❤😘 :
jaman najisikia kulia watoto jman😭😭😭😭😭
2026-08-29 08:58:38
9
nasucleopugomba
Nasucleop Ugomba77 :
hasbiyallah waneemal wakeel
2026-08-29 04:46:48
9
hamida9584
hamida :
ya Allah protect them
2026-08-29 05:40:03
31
biaisha.mohamed
Biaisha Mohamed :
subhanallah wahifadhi ndugu zetu hawa wanateseka wewe ndie miweza wa kila kitu
2026-08-29 07:03:50
29
ummusumaiya38
ummusumaiya967 :
jaman nchi zawenzet wana mitihan Allah wape wepes watoto wanahangaika
2026-08-29 18:41:27
5
mimah6858
mimah :
najikuta tu nalia mungu tujalie nch yetu iendl na amani yake
2026-08-29 09:54:42
12
user7760881472130
user7760881472130 :
yarab wew ni mwing wa rehma walinde ndugu zetu hawa wape hifadhi na uwafunike na mbawa zako inshallah
2026-08-29 14:47:49
7
mona.10
Mwanakombo N :
😭😭😭😭😭😭Allah wafinike na mbawa zako waja wako wanateswa bila hatia
2026-08-29 09:26:53
6
user3043926180763
mom's 4 og :
watoto jamani😭😭😭
2026-08-29 11:30:13
1
wamajoto7
WA MAJOTO :
yarabi wasaidie kwa sababu ya hawa watoto
2026-08-29 16:56:46
4
zizalove6
ZIZA LOVE🦋❤️🇹🇿🇹🇿🩷 :
jaman nn hikiii😭😭😭
2026-08-29 14:38:21
2
user9270227302344
moomy maya :
yaa allah wafanyie wepes wajawako wanapitia mazito yaraab
2026-08-29 16:05:38
1
user2379788467469
user2379788467469 :
sasa watu wazimaa wanakimbiaa wanaaachaa watt jamn kheeee
2026-08-29 09:07:25
2
To see more videos from user @itsmediana073, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About