@jvckieseven: Kutoka 256 Uganda hili kundi la Blue 3 lilifanya poa sana hasa huu wimbo wa hitaji remix uliotoka mwaka 2005 ulisumbua balaaaaa. kundi la blue 3 liliundwa na wadada watatu ambao ni Lilian mbabaz (kushoto) Sindy sanyu (katikati) Jack chandiru (kulia) lakini baadaye Sindy sanyu alijitoa kwenye kundi wakabaki wawili kabla ya yule bidada kuziba pengo.