kweli kaka op umeonesha nidhamu ya hali ya juu sana ni ma op wachache umesikia maneno ya uyo mama na mzee uyo duu atali sana
2026-08-29 02:58:03
22
Gift14 :
Wazaz wetu wana tupanbania sana ss maskin Mungu awape nguvu na afya njem 🙏🏾🙏🏾
2026-08-29 19:18:47
6
A.boy💪🧢 :
hii ishu nafikili Iko igoma njombe
2026-08-29 03:56:45
12
Baba Elsa :
Ukiwa umeishi na watanzania kweli kweli utaelewa na hutaweza hata kufabasamu. operator hapo kwasababu yuko kwenye limashine wanajua yeye ndo mhusika. ukiwa umefika kijijini na tshirt tu ya Serikali wanajua we ndo unakaa pembeni ya Rais sembuse bulldoza. thanks operator kwa kuwaelewa.
2026-08-28 23:11:04
38
❤️🇹🇿Vee Truck driver🚚❤️🇿🇦 :
op unaroh saf San nimekukubal ,kunywa soda nitalipa umemsikiliza wengine wangeendelea tu
2026-08-29 02:08:36
14
To see more videos from user @minjaminja277, please go to the Tikwm
homepage.