@automatewithai_tz: Tengeneza UGC Ads za Kazi Bure & Kwa Haraka Utumia AI. Huna haja ya kuajiri creators au kutumia mamilioni. Tumia Claude Code + Arcads kutengeneza video ads zenye matokeo makubwa kwa hatua chache: 🔥 Mchanganuo wa Haraka: 1️⃣ Unganisha: Weka Arcads connector na skills plugin kwenye Claude. 2️⃣ Brief: Mpe Claude context ya product, bei na target audience. 3️⃣ Spy & Clone: Angalia ads za washindani Meta Library kisha clone hook zao. 4️⃣ Generate: Tengeneza script (Hook ➔ Problem ➔ Product ➔ CTA) na u-generate kwa actors 3. 5️⃣ Test: Ongeza captions, run ad kwa siku 3–5, kisha pima CTR & CPA (sio views!). Kumbuka: Hook ndio Ad! Sekunde 3 za kwanza ndizo zinazouza. Unataka kujifunza zaidi kuhusu AI? Dondosha comment yako hapo chini ⬇️ Save post hii na u-share na mjasiriamali mwenzako! #AutomateWithAI #AI #UGCAds #ClaudeCode #Arcads