@jvckieseven: Mwaka 2014 inspector haroun BABU alimtimbia dully sykes studio kwake (studio 4.12) kumsalimia baada ya mizuka ya studio ikabidi dully sykes agonge beat ili inspector abariki studio, baada ya inspector kufanya verse zake ikawa chorus hamna wa kuweka ndipo dully sykes akakumbuka kuna kibinti kirafiki chake kilishinda kwenye shindano la Tecno kinajua kuimba ila kilikua kina sauti ndogo sanaaa akawa anakiambia kifanye mazoezi kwanza, sasa dully akaona huu ni muda sahihi wa kumpa dogo nafasi, japo inspector alikua hamuani kabisa nandy ila dully akamwambia inspector tuliaaaa ngoja nimpe maelekezo kidogo kisha utafurahi siunajua mi huwa sinaga chaguo bovu nikiamini kwenye uwezo wa mtu,,basi inspector akatulia nandy akaingia studio akatoa uwezo wake hapo, dude likatoka inspector haroun akasema EWAAA, sasa wakasema inabidi tufanye video wakawaza director wamuite nani, dully sykes akasema hili chupa tunampa MIKE TEE (mnyalu) kwa sababu mike tee alikua na kampuni yake ya video ya showbiz defined basi mike tee akapiga chupa hili likatoka 🔥 nandy akapata sifa sana kisha akaingia ThT kiulaiiini mpaka mwaka 2016 ambapo aliachia NAGUSAGUSA ambayo ndo uliomtambulisha rasmi kwenye game.

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 21:16:26 GMT
2014
75
3
7

Music

Download

Comments

real_poul91
@255_SHADES🤓😎 :
Inspector lazima ataje misosi ngoma zake
2026-08-30 14:19:44
1
user2745924953443
user2745924953443 :
lunya wa enzi zetu😄
2026-09-04 18:31:38
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About