Napenda wanavyomchokoza Alf anapanik ad raha wanampenda Ndo nimegundua 😂😂
2026-08-29 07:15:47
85
𝕄ℝ𝕊 ℝ𝔸𝕍𝕀𝕊𝕋𝔼ℝ😘😘 :
kwani huyu dda kakukoseeni nini jmn😫😫😫
2026-08-29 06:12:35
126
Neema Stev :
mbon mnamfanyia iv
2026-08-29 05:24:52
32
HENRY💦 GFX🔐 :
TAP TAP the 📺 guys 😂😂😂😂😂
2026-08-29 10:26:55
0
Ghost Marine@$€} :
Daaaaah 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 09:06:04
0
Celine :
Jamani hii bullying inakua too much.
2026-08-29 07:35:23
3
newfatma :
jmn msipaniki ndio tunakyza account yke Ivo mm nampenda Hana hasira
2026-08-29 07:25:40
16
hamidamuzzo :
Yaan mwenyew anawakaribisha kwa amani ila anachokuja kutana nacho🤣🤣
2026-08-29 07:24:37
18
Weight loss challenge :
😂😂😂😂 Ila tuwe wakweli dalali Pink anapendwa 😂😂😂😂na namna watu wanavyoreact ndo wanazidi kukifanya kipindi kiwe kitamu zaidi 😂😂😂😂nampenda sana huyu dada
2026-08-29 11:04:39
8
Young-ne🥷🏾 :
Sio Sawah Jamaniiiiiii
2026-08-29 06:51:35
8
it'skizyo :
🤣🤣🤣As anashindwa kumsaidia tu mwenzake ili mtt ale jmn🤣🤣
2026-08-29 09:49:35
9
gee roisly🦋❤️ :
😂😂😂tz ukfk na stress umejitakia
2026-08-29 06:42:58
11
mama careen😍 :
Ila kwann jamn nimecheka km jingaa
2026-08-29 05:21:11
21
user24605696599847 :
nyie mnaombully mwenzenu acheni niwanamke kama nyie sio vzr jmn usichopend kutendewa usimtendee mwngn mtu hajakukosea unamuattack sio vzr ladies mngejijiskoaje yeye awafanyie hayo mnaoyafanya that is not fair wanawake hampendan wanaume hawawez mbully mwenzako hivii
2026-08-29 08:37:37
17
Tuntuh Wigs Mwanza :
Sisi dalali pink tunampenda😂😂😂😂
2026-08-29 08:54:31
2
🌹🌹Aiem Neyma🦋🦋 :
ilahuyu dada anamoyo😂😂😂😂😂
2026-08-29 07:26:00
7
Kat official🦋 :
Sio vizuri jaman😭🙌
2026-08-29 07:02:09
6
MILLAN &MALLEN Mom 🦋🩵 :
Ilaa mumezidishaa jaman daaah 🙌🙌😪😪
2026-08-29 05:57:28
6
Rose 🌹🥰 :
kwann umbully binadam mwenzako na huna uwezo wa kuumba jmn
2026-08-29 08:57:04
2
To see more videos from user @catty_bebie, please go to the Tikwm
homepage.