@street_icon_media: #onthisday

STREET ICON _  MEDIA 👑✨️
STREET ICON _ MEDIA 👑✨️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 August 2026 23:07:01 GMT
66210
3385
158
172

Music

Download

Comments

januarleonard
Jay Lee :
Bei Ya Kuziba Pancha Inapanda Kulingana Na Thaman Ya Gari.....
2026-08-29 04:19:19
49
19sudi
19sudi :
wanakera sana mafundi mm huwa nauliza bei kabla ya kazi
2026-08-29 04:28:09
11
isayakyando77
Isaya Kyando :
tujitaid kufanya kazi bila kua na tamaaa kama rizikiako ipo ipo 2
2026-08-29 01:51:14
66
businessempiretz
BUSINESS EMPIRE TZ :
Umeniona Mimi Mwehu😂😂😂 Fumua niache niende.🔥🔥
2026-08-29 04:57:33
13
usinchunguze
J.kaaya :
juzi nimenunua dstv fundi anasema kufunga elfu 50 mobilization 30,000 demobilization 30,000 nikacheka kabisa
2026-08-29 03:52:43
16
shebyally2
Sheby Ally :
dada hiyo gari ni ya kwako kweli 🤣
2026-08-29 05:44:45
9
mudi10100
mudi10100 :
hhhhhh fundi Hun ilo
2026-08-29 05:17:12
0
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
DADA UPO VZR SANA
2026-08-29 04:49:17
19
chuse360
Chuse 360 :
pacha elf 2
2026-08-29 00:53:17
6
joyofthejoy
Joy Of The Joy :
Mimi tu ukiniambia bei kubwa ata kama nina uhitaji wa kitu naachaa nakuacha na bei yakoo mwanetu😂
2026-08-29 06:46:44
4
aweso.mohamed1
Aweso Mohamed :
ye mwenyewe ana shida alitakiwa aulize bei kabla hajapata huduma maama kina vitu ni huria havina bei elekezi ndio mana soda ya 600 Kuna sehemu wanauza 3000 na hakuna kelele, usiende na bei yako kwenye biashara ya mwenzako
2026-08-29 06:02:55
5
mazdagarages
mazdagarages :
Huyu dada DNA moja na mimi😂😂😂😂😂
2026-08-29 05:52:13
4
chihangu_chihangu
Baba 3smah tz🇹🇿 :
tamaa zimemponza
2026-08-29 04:47:33
5
napah053
NAPAH :
kwetu pancha af3 sehem zingine af5 na upepo sehem nyingine buku sehem nyingine 2k
2026-08-29 04:41:21
6
georgemagari1
George magari mwanza TZ🇹🇿 :
jamani mmh Jana mwenyewe uck yamenikuta kusafisha rim ilikuw na mchanga nikaombwa elf 15 khaa jmn shida ndugu zetu wakituona na magari wanajua kila siku tuko na hela jmn 😭😭
2026-08-29 04:57:55
9
binti.hustler
Binti Hustler :
Very nice , napenda watu ambao hawapendi kuonewa hata kama tunatafuta riziki muwe realistic kidogo. And also muwe unauliza bei kbla ya huduma kuuanza kuepuka haya😌
2026-08-29 05:12:31
2
wardaissa399
wardaissa399 :
Yaan ni elf 5 tuu haizid
2026-08-29 07:23:44
0
user8839214472774
user8839214472774 :
sasa kama gari lako ni la milioni 80 utazibiwa je na elfu 5000
2026-08-29 05:27:25
0
isayakyando77
Isaya Kyando :
alafu pia tambi sio zur kuweka kwenye gari Ako nivyema azibe kwa kuweka kilaka kwa usalama zaid
2026-08-29 01:52:32
3
good__girl2202
🫦golden girl🫦 :
wanatuchukuliaje yaan kwan mm najua had kufanya service gari yangu😂😂😂
2026-08-29 06:15:43
0
user872319198188anjelojr
Anjelo Jr :
mi ningetoa tambi zangu🙌🙌
2026-08-29 04:53:58
2
minna_tz
Minah 🍫🍫 :
Zuu 😂
2026-08-29 03:51:36
1
jacklinemoshi865
Jack :
Shida ya hawa watu bwana wanakupa bei kulingana na mwonekano aisee mm sibishanagi nampa hela ninayotoaga siku zote
2026-08-29 06:38:08
0
unknownerror6969
unknown3rror :
huyu sasa ndo dada mpambanaji sio wale wa " ugali sijui"
2026-08-29 05:51:11
1
nado.auto.garage
NADO auto GARAGE. MYUMBO,, :
imekuponza nembo dada 🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 05:45:00
1
To see more videos from user @street_icon_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About