uyobiharuc anakiburi nadharau mkwe hana apo wallahi mie nimelia mpaka macho yamenivimba nilitamani niwe mie apo ndie mamamkwe ananiimbia nyimbo hiyo wallah ningecmama nakumkumbatia nakulia namagoti ningempigia kwakumuonesha heshima namapenzi yahaliyajuu wallahi kunawatu wanabahati lakini wanazipoteza wenyewe love you mama popote ulipo 🥺🥺
2026-08-29 07:03:20
148
aboux.collection :
Allah akurehem mama angu ulipo naamini ikifika siku yangu hata kiroho utahudhuria🙏🏿😭
2026-08-29 06:58:33
100
Mwanasha Abdu :
bibi harusi jamani,,hata hashtuki
2026-08-29 06:08:55
57
Nasraameir :
Mama Jamani Mama Anauzito Yani mapenzi ya mama Hayana Mfanoweee 😭mungu Atuekeee wazeee wetu Amin